Nimeona wakenya wakisema kuna meli 10 zimeshusha mizigo Bandari ya Mombasa kukwepa Foleni Bandari ya daressalaam, kama ni kweli maoni ni uongozi wa Bandari fanyieni kazi hilo , Katika zama hizi za ushindani ili ufanikiwe lazima uwezo wako wa Utendaji uwe Juu.
Kama Bandari ya daressalaam ni ndogo bado ipo Bandari ya Tanga ufanyike upanuzi wa haraka na kuongeza vifaa meli zikijaa Dar zishushe mizigo Tanga .
Yote kwa yote ni kwa ustawi wa nchi