Bandari ya Bagamoyo: Waziri Mwambe asema Wachina walisema Dar hadi Pangani, na sio Mtwara hadi Tanga

Kama nchi hatuna matatizo makubwa kiasi hicho kwa sasa hadi jeshi kuingilia kati!! Jeshi lichukue nchi kwa mabavu sababu ya Bandari ya Bagamoyo? Mgao wa umeme? Mgao wa maji? Hayo matatizo yapo TZ pekee?

Itakuwa ni stupidiest reason ever ya mapinduzi since dunia iumbwe!! But kwa kilichotokea Zanzibar 2015, pale hata Jeshi lingeamua kufanya chochote nadhani wangeeleweka, Ule ulikuwa ni UPUMBAVU wa kiwango cha SGR kuwahi kufanywa na CCM.
 
Ndivyo mlivyodanganywa na wapinzani wa mradi...

Mkaambiwa kila aina ya uongo...

Wana-Propaganda wakatoa hadi mifano ya Bandari ya Sri Lanka...

Matokeo yake, leo hii kila mmoja anaongea lake kuhusu jambo lilelile na ni watu wa kutoka kundi lile..

Kwa mfano, Deusdedit Kakoko aliyekuwa Mkurugenzi wa Bandari yeye alisema "...naomba tuelewane manake watu wanachanganya sana. Tena wengine ni watu wakubwa sana. Bandari ile haitakuwa mshindani wa bandari zilizopo. Bandari ile ni kwa ajili ya export."

Now tell me: Wewe una kampuni ya kusafirisha mafuta, kwahiyo una tankers kibao kwa ajili hiyo. Unaanzaje kumwekea nongwa mmiliki wa mabasi wakati sio competitor wako?

In addition, wakati inasainiwa MoU (SIO MKATABA), serikali pia ikaingia mkataba na World Bank kwa ajili ya uendelezaji wa Bandari ya Dar es salaam. Sasa kama Mchina alitaka isijengwe bandari nyingine yoyote, how come tena Serikali iliingia mkataba wa uendelezaji wa Bandari ya Dar es salaam?
 
Huyu nanihii si akishastaafu?
Mbona hakulifanya kipindi chake.
Tunauza urithi wa vizazi vyetu kwa kununuliwa v8 na vijumba Mbweni.
 
Acha uzoba wewe, kuishi kwa shemeji kuna ubaya gani? Ushamba ukizidi ni mzigo
Nilijua tu watu kama nyiny hamuwez kujua faida ya kuikosoa serikali kupitia hizi social networks , Sasa kama unasubir mpaka dada yako ajitawanye ili shemeji yako afurahi ndio atoe matumizi ili wewe ule, uvae ununue bando unawezaje kujua umuhimu wa social networks?
 
kama unahamu sana kutawaliwa na jeshi hamia Sudan, Somalia,
Acha kufoka hovyo kama ng'ombe, andika kwa vituo.

Najua ukisikia neno jeshi kinyeo kinakucheza, unatetemeka mpaka visigino. Unaandika kwa miherufi mikubwa huku unatweta kwa majasho.

Maana wale jamaa hawana mchezo. Huwa wana namna nzuri mno ya kushughulika na wanasiasa legevu kama wewe. I always love it. It is refreshing and quite a good show.

We endelea kutafuna tu nchi kama nzige, let's hope you don't get crushed in the ass when the tables turn.

Enjoy the cake.
 
Nasikitika kusema kuwa hii Bandari itajengewa by hooks or crooks.

Genge la mafisadi halitaiacha hii nchi salama.

Watanzania nao wamelala usingizi wa pono.
 
Jeshi lichukue nchi kwa mabavu sababu ya Bandari ya Bagamoyo? Mgao wa umeme? Mgao wa maji? Hayo matatizo yapo TZ pekee? Itakuwa ni stupidiest reason ever ya mapinduzi since dunia iumbwe!!
Huo mgao wa maji na umeme unatokana na mikakati ya kifisadi ya genge la watu wachache wasiozidi hata mia.

Maana gesi yetu imeuzwa yote kwa wachina. Madini yote yamekabidhiwa kwa wazungu. Miradi mikubwa ya umeme inahujumiwa ili mafisadi yapate mahali pa kutafuna.

Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo umewekewa masharti kwamba, wachina wataitumia kwa zaidi ya miaka hamsini wakikusanya mapato yote na kuyachukua, kisha ndipo wawakabidhi ninyi iwe yenu. Wewe unaona hilo ni jambo la mzaha?

Hili genge la mchwa linahitaji military intervention. An immediate military action to keep them at bay and hold them responsible without mercy.

Najua ukisikia jeshi unahisi kuhara. Unaandika kwa miherufi mikubwa kama unataka kukata roho.

We hara tu. Kama unafikiri utaendelea kuwa MWIZI siku zote, ni bora uanze kufikiri upya kabla haujachelewa.
 
Wanaomkosoa waziri wana issue zao bibinafsi za hovyo halikadhalika wanaomsupport wana issue zao binafsi za hovyo pia.

Ndivyo wafrika tulipo sasa.

Ngoja niwashe feni.[emoji906]
 
Naunga hoja mkono ipo haja ya kuisafisha nchi kwa kuondoa hilo genge la mafisadi ambalo limeshajimilikisha nchi hii.
 
Hiyo ndo target yao kubwa mtwara hawana shida nayo maana haina potential population. Lengo bandari ya dar ifi natural death halafu kampun zetu zile za clearing and forwarding zihamia kwa mchina
Si hadi upate hiyo ruhusa. Wao wachina wameshaweka bayana kuwa wao wakishajenga hiyo bandari watadeal nayo wao tu.

Hakuna mtu ataweka pua yake hapo ndani wala kwenye masilahi ya bandari yao. Hii ni bila ubishi ina maanisha wtz cha kupata hapo ni ajira tu na si vinginevyo.

Target [emoji457] ya hawa wachumia tumbo ni wachina wamalize kazi zao na kujilipa ndipo watuachie hiyo bandari kama urithi ili na sisi tujitape kuwa na bandari kubwa hapa East Africa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa kama hii ya Dar tu kuiendesha ni mtihani je hiyo ya bagamoyo itakuwaje?!

Na jambo jingine ni kwamba wachina ni watu wakuwa nao makini sana katika uvunaji wa rasilimali kwa njia za panya. Am sure kutaanza some shady deals ambazo zitahusisha uvunaji wa maliasili kama wwanyam adimu, pembe za ndovu, miti, uvuvi haramu hata biashara za watu. Ni swala la muda tu mtakuja nambia.

Hao mnaowaita viongozi huwa ni kama mabeki tatu tu mbele watu weupe kwa kuwanyenyekea kutoka rohoni. Me sijawahi kuwaamini kwa lolote na sitaweza kuja kuwaamini kwa maana hawana spirit ya uongozi na HAWAWEZI kutulinda dhidi ya adui yoyote.

Ni swala la muda mtaelewa.
 
Umemsoma waziri mwenye dhamana lakini au unabwabwaja tu hapa
Yule ni dalali tu anabwabwaja. Ukitazama hata anavyoongea roho inamsuta. Yupo pale kutetea ugali wake kama puppet.

Acha kusikiliza tu maneno kwann wewe usifikirishe akili yako na kutazama kwa macho yako.
 
Babu ile sio bandari ni mkoa..... Hivi umeona ramani yake?!

Aiseeeee. Na wale jamaa wanapiga kazi hawana longo longo. So international business pale itakwenda bila shida za TRA na mamlaka za kipuuzi. That means bandari ya Dar itaanza kushindana na ile kwenye international trade jambo ambalo halitawezekana kiukweli.

Sasa nawachallenge jambo, m'meona content za mkataba?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…