Bandari ya Bagamoyo: Waziri Mwambe asema Wachina walisema Dar hadi Pangani, na sio Mtwara hadi Tanga

Bandari ya Bagamoyo: Waziri Mwambe asema Wachina walisema Dar hadi Pangani, na sio Mtwara hadi Tanga

Kwa lipi hilo hadi jeshi liingilie kati? Ukishashiba ugali ni rahisi sana kuja kutapika hapa JF, Ni wakati sasa Samia apige pini hii mitandao ya jamii kama mtangulizi wake, watapikaji (bila ushahidi wowote) wamekuwa wengi sana, jobless....
Nakuona fisadi umestutuka sana sasa ni zamu ya jeshi wanasiasa ni michosho
 
Hapa ni sawa tu na kusema, "Wachina walituhaidi hawatatuua kwa bomu bali kwa risasi"
 
Kikwete alikuwa kirusi kwa nchi hii.

How comes masharti kama hay yapo hapa nchini?

Akija mwigine akasema awekeze kwenye kilimo cha mpunga na hakuna mtu mwingine kulima kwa miaka tisini si tumekwisha?.
Wapumbaavu sana vipi ufunge ushindani kwa kutumia mikataba ? Mimi nijuavyo sera ya uwekezaji ni lazima izingatie ushindani
 
Kamati zitapitia na kuiweka kwenye lugha rahisi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115][emoji115]kamati ,,kamati ,,kamati [emoji1787]kwanini usiseme tu ukweli kuwa MAZUZU WATAPITIA HUO MKATABA
 
Wamerekebisha mapungufu au ndo tumepigwa na kitu kizito kichwani
 
Kama Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo hautaathiri Maendeleo ya Bandari za Dar,Tanga na Mtwara sioni ni sababu gani inazuia isijengwe.
Tukiruhusu hiyo bandari tutabaki na mbuga zenye jangwa wanyama watatoroshwa pembe za ndovu zitavushwamadini yatatorosha nk tumia akili
 
Hapa ni sawa tu na kusema, "Wachina walituhaidi hawatatuua kwa bomu bali kwa risasi"
Arafu utasikia waziri mpumbaavu kiasi hicho anajitapa kuwa yeye ni msomi prof ..ndiyo maana nikawaambia watu kitabu kina elimu ila hakina akili na wasomi wa tz na africa kwa ujumla wanayo elimu ila akili ndiyo hawana
 
Tukiruhusu hiyo bandari tutabaki na mbuga zenye jangwa wanyama watatoroshwa pembe za ndovu zitavushwamadini yatatorosha nk tumia akili
Asilimia kubwa ya Wanyama pori wanauwawa na sisi Wananchi wenyewe,asilimia kubwa ya Miti inakatwa na sisi Wananchi wenyewe asilimia kubwa ya uharibifu wa mazingira tunafanya sisi Wananchi wenyewe.

Hata kusafirishwa kwa Wanyamapori kunakofanywa na Wanasiasa ni kiasi kidogo tu.

Tuache blame game halafu tujirudi.

Tusiisingizie Bandari ya Bagamoyo kuwa itasababisha Mbuga zenye Majangwa
 
Unamjua mwenye Jeshi?
Ndio namjua. Ni wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambao wanakufanya wewe kibwengo uende choonii kwa kodi zao na maliasili zao.

Nyinyi genge la msoga na mchwa wengine wachache ni vijidudu tu mliovamia nchi yetu. A small bunch of parasites that need to be fumigated.

Na unaonekana una uchungu kweli, uko radhi kurusha hata teke ili wasikubandue hapo kwenye keki.

We foka tu kama ng'ombe. Yule mwenzio walimtia Tanganyika-jeki akiwa ikulu anakunywa mvinyo. Kiulaini kama panzi.

When things get out of control, this is how you will be shitting on your OVERSIZED DIAPERS while the boys in uniform do what they do best.
 
Asilimia kubwa ya Wanyama pori wanauwawa na sisi Wananchi wenyewe,asilimia kubwa ya Miti inakatwa na sisi Wananchi wenyewe asilimia kubwa ya uharibifu wa mazingira tunafanya sisi Wananchi wenyewe.

Hata kusafirishwa kwa Wanyamapori kunakofanywa na Wanasiasa ni kiasi kidogo tu.

Tuache blame game halafu tujirudi.

Tusiisingizie Bandari ya Bagamoyo kuwa itasababisha Mbuga zenye Majangwa
Kunatofauti baina ya kula kuku wako mwenyewe na kuibiwa kukuwako ,pia watz wanaofanya hivyo kama ni nje ya ccm huwa wana sakwa na kufungwa jela ,kuna yule mbunge wa ccm alikutwa na mamia ya bunduki hadi leo anadunda mitaani na kadi ya chama cha mazuzu
 
Bandari ya Bagamoyo kama Mkataba utakuwa ni Win Win sioni sababu ni kwanini isijengwe.
 
Kama nakuona unavyo kimbia ukiwa uchi baada ya jeshi kushika nchi ,huku umesahau gari lako ULILO ONGWA NA SINGASINGA kwa pesa za IPTL, EPA,NA ESCROW
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jamaa waoga kweli hawa mambo yanapobadilika.
 
Back
Top Bottom