Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Amina .... Kabisa. Haya majitu hayana kibali. Na kila kitu wanafanya hakitazaa matunda.Utawala usiokuwa na kibali
Ndio maana mvua hainyeshi.
Mapigo ya Mungu hayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina .... Kabisa. Haya majitu hayana kibali. Na kila kitu wanafanya hakitazaa matunda.Utawala usiokuwa na kibali
Ndio maana mvua hainyeshi.
Mapigo ya Mungu hayo.
Nakuona fisadi umestutuka sana sasa ni zamu ya jeshi wanasiasa ni michoshoKwa lipi hilo hadi jeshi liingilie kati? Ukishashiba ugali ni rahisi sana kuja kutapika hapa JF, Ni wakati sasa Samia apige pini hii mitandao ya jamii kama mtangulizi wake, watapikaji (bila ushahidi wowote) wamekuwa wengi sana, jobless....
Ukimuangalia tu kwanza unaona hakuwa sifa ya kuwako pale. Ana muonekano wa kibongo movie au kidalali sana.Huyu waziri ni jinga kabisa,hivi imekuaje kapewa uwaziri
Baraza la mazuzuRais Samia avunje baraza la mawaziri
Kuropoka JF rahisi sana ChiefNakuona fisadi umestutuka sana sasa ni zamu ya jeshi wanasiasa ni michosho
Wapumbaavu sana vipi ufunge ushindani kwa kutumia mikataba ? Mimi nijuavyo sera ya uwekezaji ni lazima izingatie ushindaniKikwete alikuwa kirusi kwa nchi hii.
How comes masharti kama hay yapo hapa nchini?
Akija mwigine akasema awekeze kwenye kilimo cha mpunga na hakuna mtu mwingine kulima kwa miaka tisini si tumekwisha?.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115][emoji115]kamati ,,kamati ,,kamati [emoji1787]kwanini usiseme tu ukweli kuwa MAZUZU WATAPITIA HUO MKATABAKamati zitapitia na kuiweka kwenye lugha rahisi
Mazuzu ogMwaka huu umekuwa na viroja vyake. Mtu mzima inaruhusiwa kubadili gia angani.
View attachment 2016398
Lakini kuruka kimanga [emoji16][emoji16]!
View attachment 2016400
Bwana Kassim Majaliwa, January Makamba, Vigogo wa Tanesco nk, hili la kuruka kimanga ni kwa kutuonaje hasa?
View attachment 2016395
View attachment 2016397
View attachment 2016403
You owe us explanations!
Usiseme waziri sema zuzu 'anakubali'Unakubali masharti hayo anayosema waziri kuwa tusiendeleze dar Hadi Tanga?
Tukiruhusu hiyo bandari tutabaki na mbuga zenye jangwa wanyama watatoroshwa pembe za ndovu zitavushwamadini yatatorosha nk tumia akiliKama Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo hautaathiri Maendeleo ya Bandari za Dar,Tanga na Mtwara sioni ni sababu gani inazuia isijengwe.
Arafu utasikia waziri mpumbaavu kiasi hicho anajitapa kuwa yeye ni msomi prof ..ndiyo maana nikawaambia watu kitabu kina elimu ila hakina akili na wasomi wa tz na africa kwa ujumla wanayo elimu ila akili ndiyo hawanaHapa ni sawa tu na kusema, "Wachina walituhaidi hawatatuua kwa bomu bali kwa risasi"
Asilimia kubwa ya Wanyama pori wanauwawa na sisi Wananchi wenyewe,asilimia kubwa ya Miti inakatwa na sisi Wananchi wenyewe asilimia kubwa ya uharibifu wa mazingira tunafanya sisi Wananchi wenyewe.Tukiruhusu hiyo bandari tutabaki na mbuga zenye jangwa wanyama watatoroshwa pembe za ndovu zitavushwamadini yatatorosha nk tumia akili
Kama nakuona unavyo kimbia ukiwa uchi baada ya jeshi kushika nchi ,huku umesahau gari lako ULILO ONGWA NA SINGASINGA kwa pesa za IPTL, EPA,NA ESCROWKuropoka JF rahisi sana Chief
Ndio namjua. Ni wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambao wanakufanya wewe kibwengo uende choonii kwa kodi zao na maliasili zao.Unamjua mwenye Jeshi?
Kunatofauti baina ya kula kuku wako mwenyewe na kuibiwa kukuwako ,pia watz wanaofanya hivyo kama ni nje ya ccm huwa wana sakwa na kufungwa jela ,kuna yule mbunge wa ccm alikutwa na mamia ya bunduki hadi leo anadunda mitaani na kadi ya chama cha mazuzuAsilimia kubwa ya Wanyama pori wanauwawa na sisi Wananchi wenyewe,asilimia kubwa ya Miti inakatwa na sisi Wananchi wenyewe asilimia kubwa ya uharibifu wa mazingira tunafanya sisi Wananchi wenyewe.
Hata kusafirishwa kwa Wanyamapori kunakofanywa na Wanasiasa ni kiasi kidogo tu.
Tuache blame game halafu tujirudi.
Tusiisingizie Bandari ya Bagamoyo kuwa itasababisha Mbuga zenye Majangwa
Bandari ya Bagamoyo kama Mkataba utakuwa ni Win Win sioni sababu ni kwanini isijengwe.Kunatofauti baina ya kula kuku wako mwenyewe na kuibiwa kukuwako ,pia watz wanaofanya hivyo kama ni nje ya ccm huwa wana sakwa na kufungwa jela ,kuna yule mbunge wa ccm alikutwa na mamia ya bunduki hadi leo anadunda mitaani na kadi ya chama cha mazuzu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama nakuona unavyo kimbia ukiwa uchi baada ya jeshi kushika nchi ,huku umesahau gari lako ULILO ONGWA NA SINGASINGA kwa pesa za IPTL, EPA,NA ESCROW
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]