Bandari ya Dar es Salaam ibadilishwe jina iitwe Bandari ya Samia

Kwa vile huyu ‘mama’ yetu amekuwa ndo Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania [kama siyo Afrika na hata dunia nzima], mimi naenda mbali zaidi na kutaka awekwe tu kwenye noti.

Mimi napendekeza jina la Bandari ya Dar es Salaam libadilishwe na iitwe Bandari ya Samia/ Port of Samia.

Mama kaleta DP World. Mahela hapo bandarini yameongezeka mpaka pomoni. Mameli ya kutoka Ulaya na kwingineko yanagombania kuja kwenye hii bandari yetu.

Bandari yetu hii sasa imeshika namba ya pili duniani kwa ubora, courtesy of Mama.

Sasa kwa nini tuishie kumuenzi kwenye noti tu?

Tuibadili jina na tuipe jina la Samia.

Na itanoga zaidi pia tutakapoibadilisha jina bahari ya Hindi na kuiita bahari ya Samia.

Na tusiishie hapo. Dodoma nayo tuibadili jina na tuiite Samia.

Na kwa mtaji huo, jina la mji mkuu wetu liwe ni Samia.

Hata mlima Kilimanjaro utapendeza zaidi tukiubadili jina uitwe Mlima Samia!

Mnasemaje wadau..? Tusiwe na wivu. Ungeni mkono hizi juhudi.
Nimekuelewa sana mkuu, yaaani nimekuelewa!,
 
Naunga mkono hoja!
 
Acha uhuni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Chawa kule bungeni wanatuaribia nchi
 
Hata wewe na Baba yako na mama yako mbadili jina na kuitwa ubini wa Samia
 
Naunga mkono hoja
 
😆😆😆😆naunga hoja😆🤣
 
Mkuu
Hii nchi haijawahi kuwa serious.

Chawa wanalipwa sana kuliko wanataaluma wetu wanaopaswa kuisaidia nchi
 
Kwa vile huyu ‘mama’ yetu amekuwa ndo Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania [kama siyo Afrika na hata dunia nzima], mimi naenda mbali zaidi na kutaka awekwe tu kwenye noti.

Mimi napendekeza jina la Bandari ya Dar es Salaam libadilishwe na iitwe Bandari ya Samia/ Port of Samia.

Mama kaleta DP World. Mahela hapo bandarini yameongezeka mpaka pomoni. Mameli ya kutoka Ulaya na kwingineko yanagombania kuja kwenye hii bandari yetu.

Bandari yetu hii sasa imeshika namba ya pili duniani kwa ubora, courtesy of Mama.

Sasa kwa nini tuishie kumuenzi kwenye noti tu?

Tuibadili jina na tuipe jina la Samia.

Na itanoga zaidi pia tutakapoibadilisha jina bahari ya Hindi na kuiita bahari ya Samia.

Na tusiishie hapo. Dodoma nayo tuibadili jina na tuiite Samia.

Na kwa mtaji huo, jina la mji mkuu wetu liwe ni Samia.

Hata mlima Kilimanjaro utapendeza zaidi tukiubadili jina uitwe Mlima Samia!

Mnasemaje wadau..? Tusiwe na wivu. Ungeni mkono hizi juhudi.
Mimi napendekeza wanaume wote wa Ccm nao wapewe jinsia mpya.
 
Napendekeza iitwe kati ya
1 Bandari Samia
2 Almaktoum Port
3 Sukuma Zone Port
 
Back
Top Bottom