Bandari ya Dar es Salaam ibadilishwe jina iitwe Bandari ya Samia

Kama dakika kumi nyuma kuna sehemu nimenunua mazaga kadhaa ya kupika muuzaji akaniuliza, "nikufungie kwenye mfuko wa Samia au?" nikamwambia kwani kuna haja ya kuniuliza si unafunga tu mimi naondoka zangu. Jamaa akasema huku watu hawataki kusikia kitu inaitwa Samia hata hii mifuko yenye picha yake hawakubali kuwekewa bidhaa. Mpaka muda huu natafakari kauli ya yule jamaa.
 
Hahahahaha...!! Sarcasm at its best. Kuna mambo yanasikitisha sana aisee.
 
Napendekeza Bahari ya HINDI iitwe hivyo hivyo jina la mama

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Sarcastic & corrupted mind
 
Angalia usishiriki kuwapotosha watu kwa haya uliyoandika ukifikiri watakuwa na uelewa mzuri kupata unachotaka kusema katika hii satire yako!
 
Angalia usishiriki kuwapotosha watu kwa haya uliyoandika ukifikiri watakuwa na uelewa mzuri kupata unachotaka kusema katika hii satire yako!
Sasa yeye anahusika vipi na athari ambazo hao watu walizipata kutokana na kukosa lishe bora utotoni ?
 
We bwege mlaumu mamako
 
Hata uwe dhaifu kiasi Gani huwezi kosa wafuasi bana. Ww ni mmoja wa wafuasi wa watu dhaifu kuwahi kutokea Duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…