Bandari ya Dar es Salaam ibadilishwe jina iitwe Bandari ya Samia

Na nchi ikiwezekana iitwe jina hilo hilo ili kumuenzi Mama maana kazi anayoifanya ni kubwa sana.
 
 
Mlima Kilimanjaro uitwe mlima Samia.
 
Una hoja, hata wewe nashauri uitwe Nyani Ngabu Samia kuanzia leo.
 
Mabandiko mengine yanadhamiria kutumiza ! Nilishasahau utumbo na uharo wa Bungeni!
 
Mimi naenda mbali zaidi hata jina Tanzania Kwa sasa halitufai, kwanini isiitwe Republic of Samia......!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…