Bandari ya Nyamirembe - Chato ipo tayari kwa matumizi

Halafu eti mabango kila kona tunaambiwa kuwa mzalendo kwa nchi yako,ukienda dukani dai risiti wakati mambo yenyewe ndio haya,hili kwangu sitalifanya.

Au nasema uongo ndugu zanguuu?
 
Namkumbuka sana Mange Kimambi 2018
 
Mkisikia Tanzania kuwa kama Dubai, mjue Tanzania inayoongelewa ni Chato, siyo Mbeya, Iringa, Kilimanjaro wala Arusha au Singida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…