Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Am curious to see it now lol, kunivutisha unachelewa wapi?😁
naja na vitu viwili... msuba na kitambulisho.

nakuvutisha msuba afu tunareview kitambulisho, kisha nakuvutisha tena msuba wa kuondokea bye! bye!.
(kitambulisho will be sandwiched by two sessions of msuba) 🚬🚬

All you gotta do is, name the place, date & time. 🚬
 
Unanichanganya zaidi mkuu, kitambulisho, sandwich??? 🤷🏽‍♀️

The hell 🤔
 
Unanichanganya zaidi mkuu, kitambulisho, sandwich??? 🤷🏽‍♀️

The hell 🤔
if something is sandwiched by ___

it means, that something has been placed in the middle of two things. 👇🏽
(vuta weed + review kitambulisho + vuta tena weed)

👆🏽 you see, hapo kitambulisho kiko sandwiched by weed na weed.

Achana na hii Sandwich ya msosi 🥪 ... Lugha ni sanaa
 
Wengine tulikimbia umande mkuu! Kwahiyo kitambulisho ndio nini?😁
 
Kuna siku nilipresent nikatoa mfano wa Bible Hall nzima walicheka... "Mary Jane" aheshimiwe...
Sikumbuki nilisema nini ila Dkt alinipa 8/10..
 
Kuna ndugu yetu 2015 alirudishwa nyumbani na rafiki zake akiwa amechanganyikiwa, tusijue tatzo nini? Tukaanza kuangaika naye mahospitalini lakini hakuna ugonjwa uliokuwa ukionekana

Alikuwa ali chakula hata wiki nzima baada ya kuugua mpaka mumlazimishe kula kwa kumkamata

Baadae tukagundua ni matumizi ya bangi ya kupitiliza, tukamuamisha mkoa na kwenda kutibiwa kwa kwa babu zake na bibi zake, alienda kutibiwa kwa dawa za asili kwao

Walifanikiwa kumtibia na akapona 2015-2016 alipona kabsa ila walitoa angalizo kuwa ikitokea akirudia tena kutumia bangi atakuwa chizi wa kuokota makopo kabsa kwani bangi hazimfai kabsa

Hii ni 2026… mwamba ni chizi kabsa wa kuokota vyakula barabarani na kula, inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…