Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Sasa unanishaurije mkuu? Nataka tu kulala hata 8hrs mfululizo nateseka nahisi ntakua kichaa 😭
sijui ni changamoto zipi unazopitia zinazofanya ukose usingizi au kuwa na mfumo mbovu wa usingizi katika mwili wako.
Too much mental Stress? 🤔
Drug abuse? 🤔
illness? 🤔
defects ktk mfumo wa fahamu au wa homoni?
etc.

kukabiliana na tatizo lako, itategemea na chanzo ni nini.
ili kufahamu chanzo inabidi mtu akuulize maswali kadhaa.
 
Nilipanga kutest mitambo ya hii kitu..

Nikamtafuta mkulima wa hii bidhaa akanipa tangu ikiwa mbichi nikaianika vizuri...

Nikafata mchakato wote wa utumiaji nikachoma nikavuta nyingi sana karibia kete 10.

Kwa kweli sikuona side effects yoyote kwangu yaani ni sawa na utumie pombe kali alafu usione chochote uwe kama umekunywa soda tena Fanta Orange.
 
Duhh 10😱😱 wewe ni hatari😅
 
Out of curiousity tu..

maana asubuhi nilianza na kete moja ..sikuona impact..Jioni nikaamua nibebe mzigo wote nikatumia ila hola..

Au ndo kwangu haina impact.?😀😀😀
Ungevuta zile mbichi mbichi🤣

Halafu huwa haireact hapohapo mara zote! Inaend ana mood pia, na inategemea sio zote ni active!

Mfano gomba nasikia tu impacts zake ila nishawahi onja sikuona kitu!
 
ambao leo ni addict walianza hivyo, one step at a time, in the name of Peer influence & Curiosity.

Utaanza kidogo, utapiga utasema, "mbona hamna kitu", next time curiosity itakwambia ongeza, utaongeza na utasema, "jamani mbona si-feel kitu".
Utaendelea ili uone kwa nini inasifiwa, with the aid of consistency, days in, days out.

someday utajikuta ushakuwa an addict.
at this point kuacha inakuwa ngumu coz inakupa euphoria, stimulation or sedation in the pseudoname of calmness & tranquility.

natamani ningeendelea kuelezea kidaktari zaidi, acha niishie hapa.
 
Life is all about addiction,

Choose your addiction wisely.
 
Mkuu I was just testing ..

Na kwangu ndo drug au kitu kileweshacho pekee sikuwahi tumia..

Addiction kwangu ni ngumu sana...

Na baada ya pale sikuwahi tumia tena.

Hata hayo madawa mengine nilijaribu na sikuendelea hata vilevi vinavopewaga promo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…