Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Kila mtu na vipengele vyake...
Binafsi sijawahi kupata changamoto yeyote ya kunifanya nikafikiria kuacha kutumia.
 
Kila mtu na vipengele vyake...
Binafsi sijawahi kupata changamoto yeyote ya kunifanya nikafikiria kuacha kutumia.
Unapiga sessions kila siku mkuu, au ni ile mara moja moja ?
 
Nipo sehemu tofauti . Niliyobeba imekata. Yote.

Ile yako ipo am not gonna touch it. Ikibidi nife kwa Arostoo 😂sawa
Ohh pole aisee! Hujakutana na wana tu wakakubust?

Oyaaa huo uaminifu ni top notch, we mbinguni moja kwa moja🤸🏽‍♂️
 
Vipengele vipi hivyo mkuu na sisi tujifunze tuko kwenye vipengele gani so far..
😂😂 hapana mkuu ninachojua mimi, Usitumie bangi kwa shinikizo lolote lile. Mfano mtu anayelewa kwa kukosa/kufukuzwa kazi ama ugomvi na mke wake.. Lazima awe mlevi kupindukia na kuchizika kwa wakati mmoja....

Itumie kwa dawa ama starehe..
 
Safi! kumbe machizi wengi kuna sababu hapo nyuma! Wacha tule starehe🤸🏽‍♂️
 
Je wajua ?

THC huongeza mapigo ya moyo huku ikilegeza mishipa ya damu, hali hii ndiyo husababisha macho kuwa mekundu.

Mwanangu Seran ,, red eyes ukichanganya na ile vibe ya kurembua kidogo unaweza sema mtu anakata moto 😂

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…