Ukitumia unakua na jicho kungu au lah?Hapa tu macho yangu hayafai sasa ukiongeza na hizo mambo🙌🏾
Fantastic ndo muwaelekeze wadogo zenu ukivuta sio lazima uwe mkorofiNakuwa neutral
Muda wote macho yamelegea ata kama hujasizi lazma wakushikie bango 😁.Hapa tu macho yangu hayafai sasa ukiongeza na hizo mambo🙌🏾
Macho Kulegea 😌Marafiki zangu wamenisave jina then mbele wameandika macho, nina minicho hiyo kama nyanya ntole🙌🏾
napata lunch apa ata haipandi.. Niko low mtu wangu 😒Hey heyy.. mambo nini!👌🏽View attachment 3686655
Jamaa anasema THC inalegeza mishipa ya damu?Hapa tu macho yangu hayafai sasa ukiongeza na hizo mambo🙌🏾
Sijui inawezekana ni konsept mpyaNdio namimi najifunza jambo jipya nimegundua ndio inasababisha macho kuwa mekundu!
Appetizer muhimu sana 😁Kwahiyo hata lunch yako inahitaji kubustiwa na chochote kitu😅
Njaaa njaaa njaaa wenye uhakika wa kura na maisha yao huwezi hata kuwajuwa kama wanavuta.... Angalia watu wa The Netherlands bange imeruhusiwa na kila corner kuda mgahawa wa Bangi None as Coffee shop. Watu wake ni wakaribu kushinda Europe yote.Kwanini wengine wanafurahia lakini wengine wanaishia kuteseka wanakuwa vichaa!
Nielezee hapa kwenye njaa sijaelewa.. nani ana njaa na nani huwezi kujua kama anavuta?Njaaa njaaa njaaa wenye uhakika wa kura na maisha yao huwezi hata kuwajuwa kama wanavuta.... Angalia watu wa The Netherlands bange imeruhusiwa na kila corner kuda mgahawa wa Bangi None as Coffee shop. Watu wake ni wakaribu kushinda Europe yote.
Ndio mkuu, kitaalamu inaitwa vasodilation.Jamaa anasema THC inalegeza mishipa ya damu?
As promised mtu wangu .. before ile dead line ntakuja townDahh kwanza napata lini package yangu aisee!