Sio kwamba pombe ndio ina stimulate na bangi ina slow?Pombe ina slow emotion, Bangi ina stimulate emotion ππ
Naweza kwenda kwenye mtihani niko bangi, ila sio nipo tungi sitamaliza mtihani πSio kwamba pombe ndio ina stimulate na bangi ina slow?
JidanganyeMimi bange π¬ natumia kwa ajili ya kujilinda dhidi ya washilikina
π ila pombe ni tamuπNaweza kwenda kwenye mtihani niko bangi, ila sio nipo tungi sitamaliza mtihana π
Mvuta bangi ni mvuta bangi, ukitaka mifano hai angalia wale black wa kule USA utapata majibuSawa ila mimi siongelei hao wa vichochoroni π«’
Zote ni stimulants mkuuSio kwamba pombe ndio ina stimulate na bangi ina slow?
Nimehisi hivyo sema labda uzidishe pombeZote ni stimulants mkuu
Sawa nachukua ushauri huu mwalimu π€π½Mvuta bangi ni mvuta bangi, ukitaka mifano hai angalia wale black wa kule USA utapata majibu
Sasa nikuulize hao wasio wa vichororon unaowasema wanajiweza kuliko wale black rappers wa USA?
Bangi ni bangi kua makini
Labda mshirikina mwamposqMimi bange π¬ natumia kwa ajili ya kujilinda dhidi ya washilikina
Vyote vitamu, sema pombe inamadhala mengi na masharti mengi mala upate hang over, pombe inashauri uwe umekula vizuriπ ila pombe ni tamuπ
Kabisa ni kutumia tu kwa kiasiVyote vitamu, sema pombe inamadhala mengi na masharti mengi mala upate hang over, pombe inashauri uwe umekula vizuri
Bangi ainaga hang over wala kupoteza muda ni chapu umewaka
Koo ni genetics, Kuna mambo yanawaathiri zaidi watu wa jamii au familia fulani kuliko wengine, mfano kwenye pombe genetics zina mchango mkubwa pia katika tolerance level, ndio maana unakuta wengine wanakunywa wanalewa mapema na wengine wanachelewa kulewa. Mfano Wajapan, Wachina na Wakorea hawawezi kunywa pombe kwa kiwango kikubwa sana kwa sababu hulewa mapema sana.Kwa hivyo haya mambo ya ukoo sijui kichw ani uongo mtupu?
Oohh kumbe! kwenye kulewa mapema au kuchelewa nilifikiri ni vile unavyo consume mara kwa mara unaenda unaongeza asilimia tu kumbe tena kuna mambo ya genetics tolerance π€Koo ni genetics, Kuna mambo yanawaathiri zaidi watu wa jamii au familia fulani kuliko wengine, mfano kwenye pombe genetics zina mchango mkubwa pia katika tolerance level, ndio maana unakuta wengine wanakunywa wanalewa mapema na wengine wanachelewa kulewa
Kutumia mara kwa mara pombe ni jambo mojawapo la kuongeza tolerance level lakini Kuna watu by nature tolerance level tayari Iko chini, unashangaa mtu kanywa bia mbili tu kashawehuka au kuanza kujisikia vibaya. Mfano pia Wajapan, Wachina na Wakorea hawawezi kunywa pombe kwa kiwango kikubwa sana kwa sababu hulewa mapema sana(Asian flush).Oohh kumbe! kwenye kulewa mapema au kuchelewa nilifikiri ni vile unavyo consume mara kwa mara unaenda unaongeza asilimia tu kumbe tena kuna mambo ya genetics tolerance π€