Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

Bangi haina tatizo hata kidogo. Tatizo lipo kwa watumiaji tu
 
Usiandike kitu usichokijua,addiction yeyote hua inafurahiwa na mtumiaji wake,tajiri namba moja Duniani nae anapiga kijiti,kila mtu na maamuzi yake.
Elon musk havuti bange.

Ila kuna siku alienda kwenye podcast ya mvuta bange mmoja maarufu.

Alipofika aliambiwa, ukivuta bangi utakua na akili mara dufu ya hiyo uliyonayo.

Elon akasema poa, leteni hiyo bangi, akaletewa akavuta mbele ya camera kisha akasema hakuna chochote tofauti amehisi

View: https://youtu.be/UXh13J2LlXs?si=K0R4ew7T-tdXPlpe
 
Duhh zinaleta madhara mabaya yanayopelekea kuchanganyikiwa?inamaana kwa siku isizidi joint 5?
Ndio lazima uchanganyikiwe maana unakuwa umezidisha kemikali ya THC
tetrahydrocannabinol mwilini hii kemikali inatakiwa iingie kidogo sana ndani ya mwili ili kuweka mind sawa ikizidi ndio maana mtu huishia kudata
 
Duhh umenifumbua leo! Sikuwa najua Enzo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…