Idiot Imbecile
Senior Member
- Nov 7, 2024
- 187
- 474
Haujanielewa Bibie 😅Binti wa zamani na bangi wapi na wapi😅
alafu uzuri wake vibe kama lote, utashangaa 24hours yamepita 😁Aisee mnaweza kukesha😁
Duhh umenipa kitu kipya hapa! Nilijua watu hutumia bangi ili wafanye kazi kwa muda mrefu bila kuchoka kumbe tena kuna kuwa mvivu? Pia sikujua kama kuacha bangi ni rahisi kuliko pombe, naona watu wengi wameharibikiwa kwa kuwa addicted na ulevi wa bangi!Bangi ni nzuri ukilinganisha na pombe, sigara na unga.
Kiafya pombe, sigara na unga zina madhara makubwa ukilinganisha na bangi.
Kisayansi bangi ndio ina uraibu mdogo ukilinganisha na pombe, sigara na unga.
Nimetumia bangi sana japo niliacha miaka minne iliyopita. Ubaya peke wa bangi niliouona kwangu binafsi ni kuleta uvivu, unatamani ukae au ulale tu uwaze na kuwazua mambo.
Pia ukipeleka mawazo kwenye mawazo hasi, inaweza kukuletea axienty na stress, kwa sababu inflatable utulivu unaokufanya unaoverthink tena katika mitazamo mingine ambayo ni kama illusion tu.
Nimetumia sana pombe na bangi ila ukweli pombe ni mbaya sana ukilinganisha na bangi. Pia ni rahisi kuacha bangi kuliko pombe!
Nimepunguza ila siwechi acha...
Hata mwanaume, ukila weed ukipanda, hushuki(wafungwa wanachelewa kuvunja gereza)😅 Ukikuta manzi anapuliza hii kitu kabla ya game, ujipange aiseee balaa lake huwa la ulimwengu mwingine
Sio kwa booster la kitu cha malawi labda linachochea ute hilo na energy 😅😅24 hrs mbona masaa mengi we jamaa😃
Dah, huu mmea napenda kuuvuta nikiwa nimepumzika, yaani hapo ndo naanza kufikiria vitu kwa undani na hata kugundua vitu vipya.
Hiyo ni experience yangu lakini huwa ina matokeo tofauti kwa watu. Ni kama pombe tu mwingine bia tatu yuko hoi mpaka anajikojolea, mwingine anachapa chupa kumi na tano na bado yuko poa.Duhh umenipa kitu kipya hapa! Nilijua watu hutumia bangi ili wafanye kazi kwa muda mrefu bila kuchoka kumbe tena kuna kuwa mvivu? Pia sikujua kama kuacha bangi ni rahisi kuliko pombe, naona watu wengi wameharibikiwa kwa kuwa addicted na ulevi wa bangi!
Hivi mnakunywa vipi pombe mpaka mnakua waraibu🤔Hiyo ni experience yangu lakini huwa ina matokeo tofauti kwa watu. Ni kama pombe tu mwingine bia tatu yuko hoi mpaka anajikojolea, mwingine anachapa chupa kumi na tano na bado yuko poa.
Mimi binafsi nilikuwa nikivuta natamani nikae tu. Kuna feeling ya utulivu wa akili nilikuwa naipata mpaka kufanya kazi naona ni distraction utarusha steam.
Kwa mujibu wa sayansi unga, sigara na pombe zina uraibu mkubwa kuliko bangi.
Hii mimi mwenyewe shahidi, niliacha kwa urahisi bangi, lakini mpaka leo nastruggle kuacha pombe kabisa. Nimepunguza tu
Upo sahihi mkuu! Ni mwendo wa kuichakata mbunye hakuna magoli ya kona😅 Ukikuta manzi anapuliza hii kitu kabla ya game, ujipange aiseee balaa lake huwa la ulimwengu mwingine
🤣wewe kwa unavyoniona unaweza sema hata nakunywa pombeSi kama wewe ambavyo huwezi kuiacha! Hapa nimepiga zangu shots za usingizi am getting tipsy🥴