BANK-M mikononi mwa Firoz Bayi, Kutakatisha Pesa za wa siasa

 

Attachments

  • 1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 9

Bank M haipo tena Tanzania kama benki inayojitegemea au inayofanya kazi.
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilichukua usimamizi wa Bank M kutokana na changamoto kubwa za ukwasi (kushindwa kulipa madeni yake yanayofikia ukomo). Baadaye, mali na madeni yote ya Bank M vilihamishiwa rasmi kwenda Azania Bank. Leseni ya biashara ya Bank M ilifutwa kabisa.
 
CRDB,NMB,Akiba benk na selicom hii ndio itafuta deni la taifa
Hakuna mfanyabiashara wa Kariakoo anayeitwa Firoz Bayi ambaye ana uwezo au anatafutwa kuinunua benki hiyo. Muundo wa hisa wa Bank M kabla ya kufungwa ulikuwa unajulikana wazi (ukiwajumuisha wawekezaji kama Vimal Mehta, Equity & Allied, na wengineo), na kwa sasa kila kitu kiko chini ya Azania Bank, ambayo inamilikiwa kwa kiasi kikubwa na mifuko ya umma ya hifadhi ya jamii kama PSSSF na NSSF
 
Wanakusanya Kodi kwa mitutu Kisha wanazitumia lipumbavu
Bank M haipo kwenye orodha ya benki zinazouzwa kwa sababu mchakato wake ulishafungwa kisheria miaka mingi iliyopita. Mnamo Januari 2019, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilifuta kabisa leseni ya Bank M na kuhamishia mali na madeni yake yote kwenda Azania Bank. Kisheria na kiutendaji, "Bank M" haipo tena kama taasisi, haina leseni, na haiwezi kufufuliwa wala kuuzwa kwa mtu yeyote.

britanicca kama huna taarifa kaa kimya soma mada za wenzio, acha kuandika uzushi. Unadhalilisha Jukwa la JF
 
Kwa Tanzania kila kitu kinawezekana. Mara ngapi viongozi wamevunja sheria wazi wazi na hakuna anayejali. Hayo mambo yakusema ilifutwa kisheria ni kwenye makaratasi tu. CCM ikiamua kupindisjha sheria wewe mwenyewe utaanza kussaport
 
Ipo siku mtu kutokana na ulaji mbovu, tumbo likimuuma atailaumu familia ya Jk kwa kuumwa tumbo.

Very stupid mindset in the making
Unaweza kuona kama wana chuki nao ila hawa jamaa ndio waliommaliza YM na kuchukua tigo na salamanda.

Pia kule mbagala wamechukua eneo la jeshi wameweka ICD.

Binafsi sina chuki kwa yule aliyefanikiwa kwa uwezo wake sio kuiba na kufisadi taifa.
 
Unaweza kuona kama wana chuki nao ila hawa jamaa ndio waliommaliza YM na kuchukua tigo na salamanda.

Pia kule mbagala wamechukua eneo la jeshi wameweka ICD.

Binafsi sina chuki kwa yule aliyefanikiwa kwa uwezo wake sio kuiba na kufisadi taifa.
Mimi nai encourage watu kutumia njia yoyote iliyo mbele yao kufikia ndoto au malengo yao as long as wanaweza kujitetea likitokea la kutokea maana lazima litatokea.
 
Mtaukumbuku huu uzi kuhusu JK:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…