Teller wana mashine za kuhesabia noti.
Unamuambia aweke kwenye mashine uhakiki kwa sababu mteja una nafasi ya kuona kiasi kilichohesabiwa na thamani yake.
Kitu ambacho ninakiona, wateja wengi wa 'bulk cash' huwa wanacheka-cheka sana na wale ma-teller yaani wana mazoea yaliyopitiliza kiasi kwamba hapo ndipo mnapopigiwa kwa sababu wanawaona wajinga.
Imefika mahali unahudumiwa, teller akimuona mteja mwenye hela nyingi anamuita anamuhudumia huku akiwa bado hajamaliza kumuhudumia mteja mwenye kiasi kidogo.
Kupigwa kwenu chanzo chake ni mazoea mabaya na wale ma-teller