*****. Bongo nyoso.Siyo tu kwenye maburungutu, muda mwingine wanakupiga wakati wa kuhesabu.
Ukiwapa wanazidondosha chini kwa aujanja halafu anakuambia imepelea inabidi uongezee.
Umakini unahitajika.
Aliondolewa paleGT funguka na uongezee nyama kwa faida ya wengi.
Amenifumbua macho,hata iwe buku 10 nitahakiki sana yaanMNAAMBIWAGA HESABU PESA ZAKO KABLA YA KUTOKA KWA TELLER
ova
Bank teller weziPia CRDB mlimani city kuna jamaa naye hivyo hivyo alinipiga 20k. Nilikuwa likizo 2011.
Utawakuta wakisema mtoto wa flani very smart.
Sema hii changamoto aisee. Anyway, kwenye accounts kibuku kwenye laki ni kama maji ya mto Msimbazi yakiingia baharini.Atm kutoa laki 4 Mpaka itimie lengo mkuu kibarua chake si haba.
na tunaenda ndani wakat mwingine kwa ajili ya chenchi unatoa 6m unamwambia akupe buku za 500k na 2000 za 500k then 1m akupe 5000 tu, hizo burungutu unazopewa mkuu kusema uzihesabu Njaaa inauma hapo hapo.
hamna aliesema anashindwa hesabu hela ila MUDA ndio changamoto.Kumiliki fedha nyingi, hadi ushindwe kuzihesabu, basi shule haijakusaidia
Pesa ni pesa lazima uhesabuAmenifumbua macho,hata iwe buku 10 nitahakiki sana yaan
ni kweli kabisaBank teller wezi
Tena wa pale mlimani hsta majambaz
Wanakuitia
Kipindi cha nyuma mlimani olikuw sy sehemu salama
Pale km unaenda draw pesa ndefu nenda wawili ,.mwenzk muache nje ukitoka mpe ye hela we unatokq mtupu...
Watu wengi pale wameumizwa wengine uhai kupoteza
Ova
Wameandika COUNT YOUR CASH BEFORE LEAVING THE COUNTERburungutu za buku buku za mil 5 mkuu uzihesabie counter kweli?
Kwenye ATM 🏧mwisho milioni mojaPole sana...badili mfumo wa kuchukua hela...toa kidogokidogo kwenye atm
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Hizo burungutu zinakua tayari packed yani akilibeba anajua hili ni Laki 5 hili ni Laki 2,nk.Lakini kuna notes counter pale, anaweka buku buku zikifika 100 anafunga. Unaibiwaje?
Wakishamqliza na we kaunda utasikia kaa pembeni mpishe mwingineni kweli kabisa
Acha uvivu kama hutaki kuibiwaAtm kutoa laki 4 Mpaka itimie lengo mkuu kibarua chake si haba.
na tunaenda ndani wakat mwingine kwa ajili ya chenchi unatoa 6m unamwambia akupe buku za 500k na 2000 za 500k then 1m akupe 5000 tu, hizo burungutu unazopewa mkuu kusema uzihesabu Njaaa inauma hapo hapo.
Teller wana mashine za kuhesabia noti.hamna aliesema anashindwa hesabu hela ila MUDA ndio changamoto.
unaweza Hesabu pesa zilizochoka zaidi ya 10m counter BANK ? usiandike Theory watu tuko kwenye practical mkuu
sio rahisi hivyo mkuu kama walivyoandika,Kumbuka Pale kwa teller hamna kiti useme ukae uhesabu, Umesimama nusu saa kwenye foleni zamu yako inafika usimame tena uanze hesabu maburungutu ya noti zilizoshikana kazi yake si haba mzeee.Wameandika COUNT YOUR CASH BEFORE LEAVING THE COUNTER
Ukiwa kauzu napo unaachwa kwenye foleni lisaa lizima tunaweka vimazoea ili atleast tupate viupendeleo.Teller wana mashine za kuhesabia noti.
Unamuambia aweke kwenye mashine uhakiki kwa sababu mteja una nafasi ya kuona kiasi kilichohesabiwa na thamani yake.
Kitu ambacho ninakiona, wateja wengi wa 'bulk cash' huwa wanacheka-cheka sana na wale ma-teller yaani wana mazoea yaliyopitiliza kiasi kwamba hapo ndipo mnapopigiwa kwa sababu wanawaona wajinga.
Imefika mahali unahudumiwa, teller akimuona mteja mwenye hela nyingi anamuita anamuhudumia huku akiwa bado hajamaliza kumuhudumia mteja mwenye kiasi kidogo.
Kupigwa kwenu chanzo chake ni mazoea mabaya na wale ma-teller