Bapa limepita na mzee wa upako

Nataka nifungue taasisi niite Neno la Uzima.

Ili kuwaelewesha Waislamu na Wakristo wasio lielewa neno fasaha la Mungu.
Waislamu maandiko yao ni ya Kiarabu tu.
Sisi wamakonde tunafuata tu kinacho zungumzwa na wasio jua Kiarabu.

Wakristo wengi pia hawajui maana ya kumwabudu Mungu katika Roho na Kweli.
Ukiwauliza hiyo kweli ninini ?
hawajui.
Ukiwauliza hiyo Roho ni ninini hawajui.
Na walimu wa dini wameshikiria mambo ya sadaka na matoleo tu, na hawajui chochote zaidi ya hayo mambo ya zaka.

Mwisho wa siku itakuwa kama alivyo fundisha mwanadamu, mtoto wa Mariamu Yesu Kristo.
.........
Mathayo (Mat) 15:14
Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili.

Ila bado naomba ruhusa.
Maana imeandikwa, tusiwe waalimu wengi.
 
Tupe ushaidi wa picha!
 
Mkuu you went straight into attack mode
POLE KAMA NIMEKUKWAZA

Naomba nikupe taarifa ambayo najua kuwa unaijua ila unajifanya huijui

Yesu hakuanzisha kanisa wala hajawahi kusali kanisani

Waliokuja kuanzisha kanisa baada ya Yesu walikua na taratibu zao ambazo kwa asilimia kubwa mmno zilikuja kubadilishwa na kuanzishwa taratibu mpya haswa baada ya Warumi kuifanya dini rasmi wa dola
Dola ya Rumi ilitumia influence kuwafanya mapapa kuamua mambo ku favor utawala wao

Taratibu hizo zilikuja kuzaa vitu kama.
Jumapili kama sabato
Utatu mtakatifu nk nk
Desturi nyingi za Kanisa la Roma ndio msingi wa makanisa karibia yote duniani kwasababu Warumi walisambaza dini kupitia dola lao kwa kiasi kikubwa
 
Naona kila mtu anamega kamstari ambako kanaifurahisha akilinyake.Alafu nafsinyake inaridhika.
Ila hakuna hatabmmoja ambaye anaiacha biblia iseme.
Ili biblia iseme,isome yote tangu mwanzo hadi mwisho.Alafu linganisha pande zote za shilingi unapata majibu.
Kuna mqhali Yesu anaelezwa kama mwana wa adamu,kuna mahali anaelezwa kama mtumishi.Kuna mahali anaelezwa kama mwalimu,kama nabii,kama masihi,kama mwana wa selemala,kama simba wa Yuda.Kama Mungu mkuu.
Sasa mwingine atap8nga atasema siyo mwana wa Mungu ila mwana wa selemala.Mwingine atapinga atasema siyo mwana wa selemala ila Nabii.
Wana macho hawaoni,wana masikio hawasikii.
 


Mzee wa upako yupo sahihi. Nami naongezea mistari ya biblia kuthibitisha Yesu sio Mungu

Yesu alipoomba kuokolewa kutoka msalabani, alisema: “Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; lakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke. ( Luka 22:42 )


Yesu alisema: “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?” ( Mathayo 27:46 ). Ikiwa mmoja wao alimwacha mwingine, basi lazima wawe ni vitu viwili tofauti.
 
Yesu ni cas
Amesema kweli, yesu sioukit



Ukitafakari Kwa kina utafahamu kuwa yupo sahihi kabisa . Kiukweli mwenyezimungu alikuwepo Kabla Dunia haijaumbwa. Yesu ni mtume wa mwenyezimungu nae ameumbwa. Vp yesu awe mungu na mungu hazaliwi Wala hazai.
e tofauti,mana yeye alizaliwa bila ngono,ebu kuwa na akili wewe pedophile follower
 
Katika maswala ya Dini mtu wa kumwamini ni Yesu Kristo tu.
Hao wengine tunaambiwa katika vitabu vyao kuwa wana dhambi, maana yake ni Matapeli.
Yesu ni mtakatifu kwenye Biblia, kwenye Qurani, kwenye Satanic Bible, kwenye Free masonic Bible, kwnye Momonic Bible, yaani ni kote kote tu.
Na vitabu vyote hivyo vinasema Yesu atarudi siku ya Kiyama.
...
Ni kwanini asirudi Musa, au Ibrahimu au Muhamadi au Mizra au Krisha au Haile silasie au Eliya ?

Sasa wewe unamwaminije mtu aliye kufa na anasubiri hukumu?
....
Unashindwaje kumwamini mtu huyu anayesema hivi.

Mathayo (Mat) 28:18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

Unaishia kukiamini Kiroja.
Unajua maana ya kiroja?
.......

قُلْ مَا كُنتُ بِدْعًا مِّنَ الرُّسُلِ وَمَا أَدْرِي مَا يُفْعَلُ بِي وَلَا بِكُمْ ۖ إِنْ أَتَّبِعُ إِلَّا مَا يُوحَىٰ إِلَيَّ وَمَا أَنَا إِلَّا نَذِيرٌ مُّبِينٌ

[ AL - AH'QAAF - 9 ]
Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.
........
Unakiamini Kiloja kisicho jua chochote kweli?
Au umerogwa na majini ?

Kwani amekulipa shilingi ngapi ili umwamini?

Kama hiyo dini umeirithi tu kwa wazazi wako.
Basi anza kujitathmini sasa
Maana kuna watu wamerithi uchawi na wanauamini.
Unamkataa anayekuandalia makao mbinguni na atarudi ili akuchukue uende naye Mbinguni unabaki kumwamini tapeli tu.
Anaye jiita kwa maneno yake kuwa ni KIROJA tu.

Yaani nabaki nasikitika tu na kukumbuka unabii wa Nabii Hosea alipo sema.

Hosea (Hos) 4:6
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.

(Kwani huyo Nabii feki unaye mng'ang'ania ni babako mzazi?)

Fungua akili yako wewe mpumbavu ili uokolewe.
 
Wagalatia hamna akili,hakuna mstari kwenye biblia yesu aliposema yeye ni mungu,
 
Wameshindwa kujibu hoja ya Mzee wa upako,wameishia kumu attack personal tu,na kuingiza dini zingine kwenye hii mada,

Jibuni hoja mezani hapo.
Acha utapeli
Tumekubali humu kuwa Yesu sio Mungu kama alivyo sema mzee wa Upako.
Wewe kwani unasoma komenti zipi ?
Yesu ni mtu, alizaliwa, ndugu zake wapo israeli kijiji cha Nazareti
Mama yake ni Mariamu mke wa Yusufu.
Unapo sema wakristo tumeshindwa kujibu ni Wakristo gani hao ?
Sisi Wakristo wote wa ukweli tunaungana na mzee wa Upako.
Kuwa Yesu sio Mungu.
Au unamsikiliza Mkristo Papa wa Vatikani tu ?

Kwani Mungu anazaliwa au kufa?
Ni kwanini hujiongezi kuujua ukweli na kutegemea watu wengine?

Mungu anakufa ?
Mungu anakula ?
Mungu anasuribiwa ?

Kama Yesu ni Mungu, alivyo kuwa kwenye mimba ya Mariamu inamaana Mungu hakuwepo sehemu nyingine?

Sisi Wakristo tumekubaliana na kauli ya Mzee wa Upako.
Kuwa Yesu sio Mungu.
Hao wengine ni Wakristo feki.
Kama wale Waislamu feki wanao sema Mizra ni Nabii.

Tafadhari usitujumishe Wakristo wote kwenye maneno yako.
Labda useme
Baadhi ya wanao jiita Wakristo wanasema Yesu ni Mungu.
 
Holy Trinity maana yake kuna Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu...... hiyo ni lugha tu

Dhana hii muanzilishi anajulikana na baraza lililoidhinisha itumike rasmi kanisani linajulikana
 
Niache utapeli gani?

Mbona unatokwa povu kama mgonjwa wa kifafa?

Naona unanielewesha mm tena kua Yesu sio Mungu!!

Mimi hilo nalijua toka kitambo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…