Bapa limepita na mzee wa upako

Bapa limepita na mzee wa upako

Huendi mbinguni smart ujue Yani amepotea wewe Ndio unaona kajitambuaπŸ€”πŸ€”??

Kweli shetani ako kwa kazi 😁
Ndio ukisoma ukasoma ukasomea utagundua Jambo isome vizuri bible ukiwa na ice, ndimu/limao na bapa kubwa utaelewa kwamba Mungu na Yesu ni Baba na Mtoto lakini Yesu ni Yesu na Mungu ni Mungu, kuna Mstari kwenye bible anasema "Baba mikononi mwako naiweka ROHO yangu" hapo umeelewa nini Yesu ni Mungu? Kwanini alipolia mpaka kutoka Jasho la damu alisema "Baba naomba uniepushie kikombe hiki" bado hujapata jibu Yesu ni nani na Mungu ni nani?

Msumali wa MWISHO:

Saa tisa alasiri Yesu akalia kwa sauti kubwa, akasema, "Eloi, Eloi, lema sabakthani?" Maana yake, "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?"

Kwa HIO mleta Mada Mungu na Yesu ushaelewa ni nani na nani yake?

Kabla hujasoma Bible piga K Vant kubwa au Bapa kubwa mix na Kisungura kidogo
 
Yohana sura ya 14
3. Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu, ili nilipo mimi, nanyi muwepo. 4 Nami niendako mwaijua njia. 5 Tomaso akamwambia, Bwana, sisi hatujui uendako, nasi twaijuaje njia?
6. Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima, mtu haji kwa baba, ila kwa njia ya mimi.
7. Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba, tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.
 
Nakumbuka miaka kama 15 iliyopita nilikua nabishana na wafia dini wawili wananambia kwamba Yesu ndiye Mungu, nikawaambia mkisema Yesu ni Mungu ntawaelewa lakin mkisema Yesu ndiye Mungu ntawakatalia na wala sio sahihi.
 
Kwa HIO wewe unasemaje Yesu ni nani Jesus?
Mkuu japo siko deep sana kwenye bible lkn Yesu ana uungu ndani yake japo yupo Mungu mwenyewe (eloh).Hata wakati Mungu anaumba dunia na vitu vyote Yesu alikuwepo.
I stand to be corrected
 
Back
Top Bottom