Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

Kwa watu wa Arusha hawaendi picnic kulewa wanaenda kukojoa
 
Nilikuaga mbishi kama jamaa pia , baada ya kufika chugga nikabadili mtazamo.

Arusha patamu sana aisee, the weather is perfect.

Kuna watoto wazuri sio mchezo aisee [emoji23]

Viwanja classic vizuri vikali vipo, vya kiswahili vipo pia.

Nilipata sifa za Mrina, nikafika [emoji3], aisee nilibaki mdomo wazi.

Nitarudi [emoji1691]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuache utani Arusha kuna pisi kali kama sisimizi tena for the LOKOSTI
 
Kuna vijana huwa wanakaa nje ya picnic pale kwenye maegesho ya Taxi hao ndo coordinators wa WIZI

Kuna mmoja nilimvunja mguu yaani umwibie KAMANDA

Huwa nikifika wananyoosheana vidole

Chuga imerudi kwa kasi mzunguuko wa DOLALI umeanza so matukio nayo Yameongezeka

Washirikale kama wapita humu waongeze ULINZI kwenye huo mtaa
Mimi nilikuwa natembea na mguu wa mtoto nilitamani sana kumwaga ubongo wa mtu ila hakuna fala aliyebahatika kunidhamiria kunidhuru ijapokuwa nilikuwa narudi geto usiku sana kwa siku zote nilizokaa hapo jijini.
 
Pale kuna chakula kizuri sana mchana . Tunaendaga kula samaki choma na ugali ni balaaa.... pia jioni kuanzia saa 12 huwa wana sambusa za pilipili ya Pakistan ni noma sana .
 
Alinipa tahadhari Kwa maana Lile eneo ni Hatari Mzee, Kwanza pale parking yenyewe ni ts own risk

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Inaonekana ulipewa tahadhari lakini hukuzingatia. Maelezo yako yote yanaonyesha hukuamini tahadhari uliyopewa. Hii tabia ni watanzania karibu wote wanayo. Jambo mpaka limkute ndiyo anakubali lipo na kuanza kulalamika. BTW nikupe angalizo. Hata counter za hizi bar za mitaani kunaweza kusiwe salama kuacha kinywaji kama unavyodhani.
 
Last time nimeenda Picnic nimeona wameboresha kidogo kuna kaunta kubwa ndani na walinzi (bouncers) tatizo pale ni parking I suggest kama unaenda pale ni bora ukae nje barazani at least unaweza kuwa unapiga chabo gari yako (sema uwe umejiandaa na kile kibaridi cha usiku) ufanye yako huku ukingonjea msosi wako coz wako vizuri kwenye misosi sio mbaya sana, huku ukiendelea kufanya utalii wa wanyama pori barabarani wanavyojipitisha. kuangalia raha sana hahha .Kitu kingine kizuri about Picninc ni Maliwato zao ziko vizuri sana usafi mzuri sana Maji ya moto na TV ndani chooni.

Try La fiesta Njiro PPF pia kuzuri ulinzi kama wote nice vibe.
 
Last time nimeenda Picnic nimeona wameboresha kidogo kuna kaunta kubwa ndani na walinzi (bouncers) tatizo pale ni parking I suggest kama unaenda pale ni bora ukae nje barazani(sema uwe umejiandaa na kile kibaridi cha usiku) ufanye yako huku ukingonjea msosi wako coz wako vizuri kwenye misosi sio mbaya sana, huku ukiendelea kufanya utalii wa wanyama pori barabarani wanavyojipitisha. kuangalia raha sana hahha .Kitu kingine kizuri about Picninc ni Maliwato zao ziko vizuri sana usafi mzuri sana Maji ya moto na TV ndani chooni.

Try La fiesta Njrio PPF pia kuzuri ulinzi kama wote nice vibe.
Utalii wa wanyama pori barabarani 🤣🤣🤣
 
Huu uzushi mnatoaga wapi?
Mnasimuliana vijiwe vya kahawa?.
Kabla sijaja Arusha nilitishwa kama wewe lkn niko nimeishi Arusha zaidi ya miaka 12 hakuna ujinga huu.
Dodoma nimeishi pia tena nilikuwa natembea mwenyewe sikuonaga hili pia.

AU WEWE KI MUONEKANO UMEKAA KISHAMBA?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Wewe utakuwa mmojawapo,Uandishi wako unaonesha hapa si pa kujitetea Badilikeni.
 
Back
Top Bottom