Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

Pole, mkuu. Unless kuna mahali walisema wanahusika na ulinzi wa magari kwenye hiyo parking, sioni kama ni makosa yao. Sehemu nyingi sana za starehe, unatafuta mlinzi unamwambia akuchekie mtakutana ukitoka. Parking sehemu kama hizo na nyingine nyingi is always at your own risk, goes without saying.
Bongo hadi kwenye hotels za kitalii unaandikiwa PARKING AT OWN RISK.
 
Weee kama huku temeke mitako bar[emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kulikuwaga na matako bar Arusha mianzini..walikuwaga na chakula kizuri sana yaani mchana wanaume walikuwa wanajaa vibaya mno.
Wasichana wenye nundu balaa hadi nilimtuka x wangu wa mwanzo mwanzo pale[emoji16]

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Hata zinazokuwa ndani ya Uzio bado huwa wanaweka hicho kibao, ili kuondoa responsibility kwa Mmiliki wa eneo; Hiyo at your own risk wakati mwingine ni kwasababu hata mtu anaweza kudhuru gari yake mwenyewe na kutaka kuwajibisha Mmiliki wa eneo.

Kweli kabisa, mkuu. Hivi vitu si rahisi kabisa.
 
Wewe kwanza ni mzinzi. Mtu anayejiheshimu hawezi kukaa picnic kunywa pombe unless ulikuwa na mahitaji ya ngono pia.

Kwa kukufundisha tu Kwa maana mwanadamu haishi kufunzwa
Ngono na uharibifu vinaendaga pamoja
So usishangae sana

Pale ni mashenzini
Kila aina ya uhalifu uko pale na usalama hakuna kabisa
Kuna siku utapigwa kisu na Malaya sijui utamuambiaje mkeo
 
Back
Top Bottom