Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

Nature yao wana mambo ya ubabe flani hivi,sasa wakishapiga na pombe confidence zinawazidi.Hata mimi nimeathirika kisaikolojia kuwa Arusha kuna wizi wa magari,sasa nikiwa na gari huwa nakuwa sina amani yani napenda nipaki gari mahali ambapo nitakuwa naliona...
Wajuba wanaiba hadi side mirrors 😂😂
Kile kimfuniko cha nyuma
 
Hayo mambo yatakuwa yameanza baada ya Magufuli kufa,mwaka juzi nilikuwa hapo picnic palikiwa salama sana.
"Waziri wa mambo ya ndani aitishe kikao mkakati maalumu kwa ma RPC wote Tanzania wapange mpango kazi maalum na hata washindanishwe kwa utendaji kazi bora wa kudhibiti maeneo yao ya kazi kwa posho kubwa na kupanda vyeo na tunu za kipekee"
 
Umenikumbusha bana!!
Miaka ya 2016/17, huku Kigoma wavuvi kwa Imani zao potofu wakaambiana kwamba kuvua kwa bulb inalipa kwelikweli kuliko karabai!
Ee bwana ee!! acha tuibiwe betri zetu za gari bana, ilikuwa balaa!
Staili waliyokuwa wanatumia ni kuvunja vioo vile vidogo bana!
Biashara zingine kumbe hovyohovyo sana! Wewe upate faida, Mimi nipate hasara, ajabu sana!!
 
Umenikumbusha beach flan za kigoma karibu na Bohari ya Tanesco.
Panachangamka balaa

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Mi wadada wa barbershop ndo nahasira nao nilienda kunyoa wakaniingiza kwenye kachumba kadogo nashangaa mtu ananiminya minya shingo, kanishika shika weee badae nakuja kuambiwa eti nilipe Tsh 30,000/= nililaani sana kwenye maisha yangu gharama kubwa niliyowahi kunyolea ni buku mbili siku hiyo nikapigwa 30k aisee bajet ya chakula mwezi mzima nikaitoa kwenye kunyolea ni kufuru mbaya sana sitahitaji ijirudie kwenye maisha yangu
 
Back
Top Bottom