Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

😄😄 meneja wa hizo bar ni yule dada mmoja hivi ana tumbo kubwa nadhani ndio yeye hua anasimamia interviews za hao wahudumu kuangalia 'Vigezo na Masharti' kuzingatiwa.
Yule dada alishajipunguza sana ule unene hadi nilimsahau, sahivi ana umbo la kawaida sana tu.
 
Wakuu sitaki kumwaribia biashara Ila Pale Sio Pazuri Wezi ni Wengi Sana, na Sjui Uongozi wa Picnic Hawalijui Hilo
Mkuu kama wewe mwenyewe uliambiwa kwamba hapo sio salama na bado ukaenda, Sasa unashangaa kwamba Uongozi hawalijui hilo?? Kwan wewe ulikuwa hulijui? hukujulishwa before?? Kama ndivyo basi ni sawa kabisa na uongozi.

All in all pole sana brother
 
Ni parking ngapi unakuta vibao "park at your own risk"? Hivi vitu sio rahisi kama unavyozungumza, mkuu. Unless parking iko ndani ya uzio, ni ngumu sana kuhakikisha usalama wa gari lako.
Hata zinazokuwa ndani ya Uzio bado huwa wanaweka hicho kibao, ili kuondoa responsibility kwa Mmiliki wa eneo; Hiyo at your own risk wakati mwingine ni kwasababu hata mtu anaweza kudhuru gari yake mwenyewe na kutaka kuwajibisha Mmiliki wa eneo.
 
Mkuu kama unajirlewa nenda Andrew's, The Don, 40/40, Njooys, 2000 motel. nk
Hizo ni sehemu za watu wanaojielewa na sehemu kama hizo zipo nyingi.
Cocoriko bado nalo ni chimbo la kishamba tu kila changu anakimbilia pale.

Labda mimi kwasababu napenda sehemu tulivu.


Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Motel 2000 unaendaga kufanyaje 🤣🤣🤣

Aende na Orlando garden.. pana utulivu sana
 
Elimu ina gharama zake mkuu.
Mimi kamwe huwezi kunikuta bar hizi uchwara napendelea lounge tulivu na sehemu zangu ni kama.
Njooys, 40/40, kipong, Bills, tembo club nk.
Ni sehemu tulivu mno.
Hasa tembo club unakaa garden na kaubaridi kama upo Ulaya ndogo haha.


Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Tatizo Tembo club mbali 😩
Ila wana meee amazing 🤩
 
ongeza na hii orlando garden ipo sakina raskazone pale..

mopao lounge moshono

machimbo yapo mengi mazuri sema mleta mada hakupewa muongozo mzuri
Orlando 😜😜
Utulivu kama woteee
Na uchangamfu siku za mechi kubwa kubwa wa kistaa
Makange amazing
 
Ningekuwa mimi ndo wewe, huyo mwizi kabla ya kumkabidhi kwa polisi ningemsachi (namfokoa wallet na simu na kama amevaa ndula kali namchojolesha) mixer ngumi nyingi za mdomo....
Kaloleni Arusha ukifanya hivyo utauawa kwa mapanga

Take it from me...!
 
Back
Top Bottom