Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Huyo mmiliki ana pesa tangu kizazi cha babake, hana shida na hizo fambaYaani Bar haina time na usafiri wa mteja?
Hapo hao wamiliki ndio wezi wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mmiliki ana pesa tangu kizazi cha babake, hana shida na hizo fambaYaani Bar haina time na usafiri wa mteja?
Hapo hao wamiliki ndio wezi wenyewe
Tembea uone.Hivi huko Arusha utapata mwanamke wa maana kiasi akuchanganye akili?
Sometimes hizo bar kubwakubwa wamiliki wao ni sehemu ya wizi na wanapata commission kwa kila tukio huku wengine wakiwa ni wamiliki wa hivyo vikundiWakuu Niko Arusha Kwenye Miangaiko Sasa Jana nikaenda Bar ya picnic Arusha, Sasa Wakati ñaenda Nikamwambia Mwenyeji wangu, yule Mwenyeji wangu akanambia kuwa makini Na picnic kuna wezi kama wote, nikamjibu Poa.
.
Lakini yule Jamaa akanambia watu wageni wanaogopa Sana Hapo maana ULINZI zero.
.
Nikafika pale nikaagiza Kinywaji Changu, Grants Ile Kubwa nikawa nanyonya mdogo², Sasa Kuna Binti akawa amekaa kaubta ananiangalia sana.
.
Badae akamtuma mhudumu akwambia, kamwambie yule Kaka nimempenda Jinsi alivyo mrefu na Rangi yake nyeusi nikasema asante.
.
Sasa nikaenda Chooni yule mwanamke ananikonyeza halafu for the time being akanifata chooni Ananambia mbn na kuita Uje Halafu hauji, Eti njoo ule nyama Sawa Nikamjibu Poa.
.
Ila Sikwenda maana nilishaambiwa Niwe makini na wahudumu+wateja, badaye kanifata nilipokaa Ananambia ninahamia Hapa Tukae Wote.
.
Wakati Huo Nimepaki Gari nje, Nikamjibu sitakaa Sana Ila nitaondoka Kwenda Kupumzikia, akajibu nitakusindikiza, Wala sikujibu chochote.
.
Badae Akili ikanambia Toka nje kaangalie gari, nikatoka Ila kabla sijatoka nje nikachukua Kinywaji Changu nikapeleka counter Kwa usalama zaidi.
.
Ila natoka nje kupiga macho Kwenye gari Naona Mtu Yuko ndani ya gari kusogea nakuta anafight kufungua radio, alivyoniona akakurupuka akataka kukimbia nikamuwahi nikampiga teke akaanguka Chini, nikampa teke lingine la Tumboni akatulia, nikaona gari ya Polisi wale Polisi wakaja wakaniuliza vipi nikawaelezea wakamchukua wakamweka Kwenye gari Yao.
.
Kurudi Kuangalia gari kumbe alivunja kioo Kidogo Akaingiza Mkono aka-unlock zile lock za milango.
.
Nikaenda kuwalezea Uongozi wa Bar Wala hawajali wanajibu majibu ya Kawaida Tu.
.
Nikachukia nikaenda nikachukua kinywaji Changu nikasepa.
.
Wakuu sitaki kumwaribia biashara Ila Pale Sio Pazuri Wezi ni Wengi Sana, na Sjui Uongozi wa Picnic Hawalijui Hilo.
Nitajie mkoa wenye Warembo wengi nami nitakutajia makabila 6 yenye warembo na wamejaa ArushaHivi huko Arusha utapata mwanamke wa maana kiasi akuchanganye akili?
Bila shaka hufahanu hayo mazingira.Sometimes hizo bar kubwakubwa wamiliki wao ni sehemu ya wizi na wanapata commission kwa kila tukio huku wengine wakiwa ni wamiliki wa hivyo vikundi
Mabaamed watajuaje kama ana gari?Unaenda kulewa na gari kama sio kutafuta ajali za kijinga ni nini
Unataka kustarehe Acha gari Hotel uliyofikia au nyumba uliyofikia
La sivyo ni kujitafutia majanga tu au ni show off
Mkuu karibu na central polisi kuna lounge mpya inaitwa Kipong.
Umeongea point.
Arusha kuna bolt na indrive, usiku hakuna haja ya kutembelea private ukienda kulewa
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Elimu ina gharama zake mkuu.Mkuu watu wanajifunza kulingana na makosa, imeshatokea na nimejua ni pa hovyo Sana
Mabaamed watajuaje kama ana gari?
Walevi wote hua tunasema hivyo hivyo kama wewe,lkn hua tunajidanganya sana.Yaan huo ni utumwa sasa,watu tumenunua magari ya kulewea we unasema tuyaache nyumbani kwa hiyo nipande boda au? ambaye naye kalewa.Kifupi mi nikilewa ndo ninacontroo balaa utafikiri gari ametengeneza babangu
Ikiwa unajiujua huwa unalewa sana bora uache gari.Ila kuna watu hawaelewi anakuambia what’s the point eti kuwa na gari
Ukiwa bila gari unajiachia zaidi na uhuru pia
Temana naeNitajie mkoa wenye Warembo wengi nami nitakutajia makabila 6 yenye warembo na wamejaa Arusha
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
ongeza na hii orlando garden ipo sakina raskazone pale..
Nature yao wana mambo ya ubabe flani hivi,sasa wakishapiga na pombe confidence zinawazidi.Hata mimi nimeathirika kisaikolojia kuwa Arusha kuna wizi wa magari,sasa nikiwa na gari huwa nakuwa sina amani yani napenda nipaki gari mahali ambapo nitakuwa naliona...Mimi nimesoma na kukaa Arusha miaka mingi lakini ukweli usemwe kuna usela wa kipumbavu sana! Watu wanajiona wajanja na usela mavi hasa ikitokea ni mgeni utashaa.
Naona siku hizi nafuu sana maana zamani maeneo mengi ya starehe ilikuwa ni fujo fujo tu na lazima uwe na kampani ili uwe salama. Kama mnakumbuka kuna kipindi hadi Clouds Fm walisitisha matamasha Arusha sababu hiyo.
Siku hizi kuna ustaarabu sana na nafikiri wenyeji wenye exposure waendelee kuwa mfano na Polisi waendelee na doria za kutosha.