Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
- Thread starter
- #101
Nipo Bado Mkuu, mpaka juma5, nikucheki badae Mzee babaArifu next time ukija chuga nitafute mdau nikupeleke viwanja vya kistaarabu kabisa at least ukiwa na raia inakuwa full.. juzi kuna bro wamempiga iphone alikuwa anatoka tu bar nje kakutana na hao sijui wana pikipiki wakamweka kati wakamla iphone wakasepa dah wizi sasa hivi ni noma sana tuwe makini sana hali ni mbaya especially at night.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app