Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

Siku nyingine maliza mambo yako pale pale maeneo ya Kijenge kuna chimbo moja lipo mkabala na Hotel ya Mount Meru lile chimbo lipo salama sana.
ni la huyo huyo mwenye picnic pia jamaa ana machimbo mengi sana kuanzia hiyo picnic,darajani(kama unaenda morombo),stand ndogo pia kuna chimbo lake,hilo la karibu na mount meru hotel pia lake
 
Mkuu ni jingle Gani ambalo wanapiga Rhumba? I mean boringo?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Milestone...Sakina USTAARABU WA KUTOSHA

Picnic na viunga vyake PAMESHAAOZA MDA MREFU

Mimi ni Kamanda Mstaafu wa huo mtaa hapafai ...ugoro madawa ya kulevya kuwekewa kwenye kinywaji...uporaji vijana wenyeji Kaloleni ni kundi la uhalifu hapo...in short hiyo ni Dangerous zone....

Ila kuna Pisi grade zote beba kailie mbali
 
Arusha Ukiwa mgeni kila sehemu utakayoenda ujue kuna Mwizi Anakufuata nyuma! Ukiwa mgeni wanaambiana....Ukiingia Guest na Demu Hakikisha hulali siku hiyo na funguo uwe nazo mfukoni..Ndio mkoa unaongoza kwa malimbukeni hapa Tz ikifuatiwa na Dodoma.
 
Kuna vijana huwa wanakaa nje ya picnic pale kwenye maegesho ya Taxi hao ndo coordinators wa WIZI

Kuna mmoja nilimvunja mguu yaani umwibie KAMANDA

Huwa nikifika wananyoosheana vidole

Chuga imerudi kwa kasi mzunguuko wa DOLALI umeanza so matukio nayo Yameongezeka

Washirikale kama wapita humu waongeze ULINZI kwenye huo mtaa
 
Huu uzushi mnatoaga wapi?
Mnasimuliana vijiwe vya kahawa?.
Kabla sijaja Arusha nilitishwa kama wewe lkn niko nimeishi Arusha zaidi ya miaka 12 hakuna ujinga huu.
Dodoma nimeishi pia tena nilikuwa natembea mwenyewe sikuonaga hili pia.

AU WEWE KI MUONEKANO UMEKAA KISHAMBA?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Una akili za kisenge, unamuitaje mtu usiyemfaham mtu wa hovyo? Sababu ameingia picnic? Kwani kuingia sehem inasadiki wewe ni mtu wa aina gani? Embu wakati mwingine heshima kitu cha bure, ni stress hizi za kutokua na pesa au ni nini..pumbav kabisa.
Ndio ni mtu wa hovyo ndio maana kaenda huko uswahili kufuata starehe za bei cheee.... Angekuwa mtu wa maana angeenda Mount Meru Hotel, New Arusha, Grand Melia n.k......huko ndio wanaenda watu wa maana.....😊😊😊
 
Kuna vijana huwa wanakaa nje ya picnic pale kwenye maegesho ya Taxi hao ndo coordinators wa WIZI

Kuna mmoja nilimvunja mguu yaani umwibie KAMANDA

Huwa nikifika wananyoosheana vidole

Chuga imerudi kwa kasi mzunguuko wa DOLALI umeanza so matukio nayo Yameongezeka

Washirikale kama wapita humu waongeze ULINZI kwenye huo mtaa
Corona iliharibu sana aisee, hadi marastafariani wakapotea mjini
 
Nitajie mkoa wenye Warembo wengi nami nitakutajia makabila 6 yenye warembo na wamejaa Arusha

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Nilikuaga mbishi kama jamaa pia , baada ya kufika chugga nikabadili mtazamo.

Arusha patamu sana aisee, the weather is perfect.

Kuna watoto wazuri sio mchezo aisee [emoji23]

Viwanja classic vizuri vikali vipo, vya kiswahili vipo pia.

Nilipata sifa za Mrina, nikafika [emoji3], aisee nilibaki mdomo wazi.

Nitarudi [emoji1691]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Niko Arusha Kwenye Miangaiko Sasa Jana nikaenda Bar ya picnic Arusha, Sasa Wakati ñaenda Nikamwambia Mwenyeji wangu, yule Mwenyeji wangu akanambia kuwa makini Na picnic kuna wezi kama wote, nikamjibu Poa.
.
Lakini yule Jamaa akanambia watu wageni wanaogopa Sana Hapo maana ULINZI zero.
.
Nikafika pale nikaagiza Kinywaji Changu, Grants Ile Kubwa nikawa nanyonya mdogo², Sasa Kuna Binti akawa amekaa kaubta ananiangalia sana.
.
Badae akamtuma mhudumu akwambia, kamwambie yule Kaka nimempenda Jinsi alivyo mrefu na Rangi yake nyeusi nikasema asante.
.
Sasa nikaenda Chooni yule mwanamke ananikonyeza halafu for the time being akanifata chooni Ananambia mbn na kuita Uje Halafu hauji, Eti njoo ule nyama Sawa Nikamjibu Poa.
.
Ila Sikwenda maana nilishaambiwa Niwe makini na wahudumu+wateja, badaye kanifata nilipokaa Ananambia ninahamia Hapa Tukae Wote.
.
Wakati Huo Nimepaki Gari nje, Nikamjibu sitakaa Sana Ila nitaondoka Kwenda Kupumzikia, akajibu nitakusindikiza, Wala sikujibu chochote.
.
Badae Akili ikanambia Toka nje kaangalie gari, nikatoka Ila kabla sijatoka nje nikachukua Kinywaji Changu nikapeleka counter Kwa usalama zaidi.
.
Ila natoka nje kupiga macho Kwenye gari Naona Mtu Yuko ndani ya gari kusogea nakuta anafight kufungua radio, alivyoniona akakurupuka akataka kukimbia nikamuwahi nikampiga teke akaanguka Chini, nikampa teke lingine la Tumboni akatulia, nikaona gari ya Polisi wale Polisi wakaja wakaniuliza vipi nikawaelezea wakamchukua wakamweka Kwenye gari Yao.
.
Kurudi Kuangalia gari kumbe alivunja kioo Kidogo Akaingiza Mkono aka-unlock zile lock za milango.
.
Nikaenda kuwalezea Uongozi wa Bar Wala hawajali wanajibu majibu ya Kawaida Tu.
.
Nikachukia nikaenda nikachukua kinywaji Changu nikasepa.
.
Wakuu sitaki kumwaribia biashara Ila Pale Sio Pazuri Wezi ni Wengi Sana, na Sjui Uongozi wa Picnic Hawalijui Hilo.
Wewe ukienda pale hutakiw kuongea na yoyote yule kuwa kauzu kama Mavi
 
Nilikuaga mbishi kama jamaa pia , baada ya kufika chugga nikabadili mtazamo.

Arusha patamu sana aisee, the weather is perfect.

Kuna watoto wazuri sio mchezo aisee [emoji23]

Viwanja classic vizuri vikali vipo, vya kiswahili vipo pia.

Nilipata sifa za Mrina, nikafika [emoji3], aisee nilibaki mdomo wazi.

Nitarudi [emoji1691]

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora utusaidie kusema mkuu.
Hivi ukiwa viwanja unaweza kufananisha warwmbo wa dar na Arusha mkuu?
Weka ushabiki pembeni.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom