Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

Kwa watu wa Arusha hawaendi picnic kulewa wanaenda kukojoa
 
Tuache utani Arusha kuna pisi kali kama sisimizi tena for the LOKOSTI
 
Mimi nilikuwa natembea na mguu wa mtoto nilitamani sana kumwaga ubongo wa mtu ila hakuna fala aliyebahatika kunidhamiria kunidhuru ijapokuwa nilikuwa narudi geto usiku sana kwa siku zote nilizokaa hapo jijini.
 
Pale kuna chakula kizuri sana mchana . Tunaendaga kula samaki choma na ugali ni balaaa.... pia jioni kuanzia saa 12 huwa wana sambusa za pilipili ya Pakistan ni noma sana .
 
Alinipa tahadhari Kwa maana Lile eneo ni Hatari Mzee, Kwanza pale parking yenyewe ni ts own risk

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Inaonekana ulipewa tahadhari lakini hukuzingatia. Maelezo yako yote yanaonyesha hukuamini tahadhari uliyopewa. Hii tabia ni watanzania karibu wote wanayo. Jambo mpaka limkute ndiyo anakubali lipo na kuanza kulalamika. BTW nikupe angalizo. Hata counter za hizi bar za mitaani kunaweza kusiwe salama kuacha kinywaji kama unavyodhani.
 
Last time nimeenda Picnic nimeona wameboresha kidogo kuna kaunta kubwa ndani na walinzi (bouncers) tatizo pale ni parking I suggest kama unaenda pale ni bora ukae nje barazani at least unaweza kuwa unapiga chabo gari yako (sema uwe umejiandaa na kile kibaridi cha usiku) ufanye yako huku ukingonjea msosi wako coz wako vizuri kwenye misosi sio mbaya sana, huku ukiendelea kufanya utalii wa wanyama pori barabarani wanavyojipitisha. kuangalia raha sana hahha .Kitu kingine kizuri about Picninc ni Maliwato zao ziko vizuri sana usafi mzuri sana Maji ya moto na TV ndani chooni.

Try La fiesta Njiro PPF pia kuzuri ulinzi kama wote nice vibe.
 
Utalii wa wanyama pori barabarani 🤣🤣🤣
 
Wewe utakuwa mmojawapo,Uandishi wako unaonesha hapa si pa kujitetea Badilikeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…