Mzee baba fanya tour uende brazil😂😂Yes mkuu yupo huyo alafu kuna mwingine kama unaenda upande wa officer's mess jamaa rasta ana speakers kubwa balaa kama za club yaaani ni mwendo wa reggae na upepo mwanana
Sijui niseme ni umaskini wetu au sheria za zoning(kama zipo) hazifuatiliwi. Kila mtu anajenga kaduka mbele, kaweka na viti anmara kagenge nk. Nafikiri hatq kufuga sijui ng'ombe, kuku, mbuzi na kama hao kwenye makazi hairuhusiwi.Kuweka utulivu, maeneo ya makazi ya watu zingebaki grocery tu au maduka ya vinywaji maarufu liquor stores.
Hatuheshimu zoning. Watu hawajui hata ukijenga hoteli kali kiasi gani, au ofisi nzuri kabisa ya kupendeza kwenye eneo la makazi ni uchafuzi. Sehemu nyingi ambazo zamani walikuwa wanaita uzunguni kwa tz hii zimeanza kuchafuka kwa mtindo huo. Zitakuwa hazifai tena kwa makazi.Na sisi ndivyo yulivyofikiri hivyo.
Kwamba tutahama Oysterbay na kuhamia Mbezi Beach ambayo itakuwa nzuri zaidi ya Oysterbay.
HahahahaHahahaha vina wenge sana halafu ukiwa unakunywa kinywaji cha gharama kama Hennessy videmu wanavyokuja navyo huwa shobo sana na vinaanza kudis.Wengine tunanywea home tu
Bbb😬😬😬Hahahaha
Ova
Teh teh ngj wazoefu waje watuambieHilo Jina "Kidimbwi"...hatari sana. Ni kidimbwi cha pombe au ni kitu gani?
Upanga ule mtaa wa ofisi za takukuru kna chimbo langu moja la bia...Na sisi ndivyo yulivyofikiri hivyo.
Kwamba tutahama Oysterbay na kuhamia Mbezi Beach ambayo itakuwa nzuri zaidi ya Oysterbay.
Unajua Mrangi, kiswahili au kule bara wanasema vi-lugha vya mjini hivi ni shida sana kujua kilichojificha ndani ya jina KIDIMBWI. Waje tu watwambia tujueTeh teh ngj wazoefu waje watuambie
Ova
Hahaha hao wahuni sana eti kidimbwiUnajua Mrangi, kiswahili au kule bara wanasema vi-lugha vya mjini hivi ni shida sana kujua kilichojificha ndani ya jina KIDIMBWI. Waje tu watwambia tujue
Mipango ilikuwa mbezi iwe zaidi ya obay na masaki kama plan ingebakia kama mwanzo
Basi mbezi beach ingekuwa kama Lavington fulani!
Ila sahv is ishakuwa vurugu ktk maeneo fulani sana sana pembezoni
Labda kunduchi na ununio sema ununio kuna sehemu moja wamejaa wazaramo+konde gang kna bonge la sqata
Kuna vigodoro hpo balaaa,sehem hyo ipo katikati ya mashuwaa😂😂😂
Jamaa kuhama wabishi
Ova
Hv cornl hajatoka
Ambrosia pale unaweza kwenda jamaa wakakuzuia kuingia hata kama una mpunga wa kutumia pale,walikuwa wanachagua sana watu maalum wa kuingia pale
Ova
Basi hiyo ni fursa kwa mtu kuanzisha baa isiyoruhusu watoto maeneo hayo.Tatizo sehemu hizo zote watoto wanajaa sana
Ova
Hahaha hao wahuni sana eti kidimbwi
Ova
Kilongawima si kna bar ya resort ya wanangu fulani,jamaa kna kipindi nlikuwa naenda sanaMbezi Kunduchi ile ya Mwamunyange kwa Lipumba kilongawima ,bahari beach rudy farm kwenda ras kilomoni na mbweni jkt wazimantain hizo sehemu zisije kuwa changanyikeni kama mbezi beach.
Hahahah jamaa alibuni sana jina kidimbwiLabda tuanzie hapa - Unajua kidimbwi unaruka tu kiulaini ata kama unatembea mwendo wa kawaida wakati kisima hauwezi ruka kiulani namna hiyo. Unaweza dumbukia kwenye kisima lakini kidimbwi hauwezi. Mara nyingi maji ya kidimbwi ni machafu maana si kisafi kama kisima. Sasa watwambie kwa nini panaitwa KIDIMBWI
Hahahah jamaa alibuni sana jina kidimbwi
Sjui aliwaza nn
Ova
HahahaHuyu jamaa ni hatari fire. Sijuhi aliwaza nini mpaka kupata jina hilo
Sasa hizo nyumba kwani ni zako mpaka uie watu wakipangisha 100kMimi nilitoka 2007, iliisha anza kuwa ya ovyo. Nafikiri miaka 15-20 ago ndiyo ilianza kuchoka, watu wakaanza kupangisha hizi single rooms cheap, and kukawa na muingiliano mkubwa na hii kawe ya ukwamani
Kilongawima si kna bar ya resort ya wanangu fulani,jamaa kna kipindi nlikuwa naenda sana
Pale,sema kna wakat jamaa alikuwa anapiga miziki kwa nguvu singeli nlimwambia mambo gani tena haya jamaa akawa anachukulia poa
Ahh washuwa jirani walimletea zengwe bar ilifungwa miezi kadhaa akaomba sana msamaha
Naskia kafungua tena ila kanyooka
Ova