Bar zinavyochipuka ukanda wa Mbezi Beach

Bar zinavyochipuka ukanda wa Mbezi Beach

Kuweka utulivu, maeneo ya makazi ya watu zingebaki grocery tu au maduka ya vinywaji maarufu liquor stores.
Sijui niseme ni umaskini wetu au sheria za zoning(kama zipo) hazifuatiliwi. Kila mtu anajenga kaduka mbele, kaweka na viti anmara kagenge nk. Nafikiri hatq kufuga sijui ng'ombe, kuku, mbuzi na kama hao kwenye makazi hairuhusiwi.
Na sisi ndivyo yulivyofikiri hivyo.

Kwamba tutahama Oysterbay na kuhamia Mbezi Beach ambayo itakuwa nzuri zaidi ya Oysterbay.
Hatuheshimu zoning. Watu hawajui hata ukijenga hoteli kali kiasi gani, au ofisi nzuri kabisa ya kupendeza kwenye eneo la makazi ni uchafuzi. Sehemu nyingi ambazo zamani walikuwa wanaita uzunguni kwa tz hii zimeanza kuchafuka kwa mtindo huo. Zitakuwa hazifai tena kwa makazi.
 
Hahahaha vina wenge sana halafu ukiwa unakunywa kinywaji cha gharama kama Hennessy videmu wanavyokuja navyo huwa shobo sana na vinaanza kudis.Wengine tunanywea home tu
Hahahaha

Ova
 
Na sisi ndivyo yulivyofikiri hivyo.

Kwamba tutahama Oysterbay na kuhamia Mbezi Beach ambayo itakuwa nzuri zaidi ya Oysterbay.
Upanga ule mtaa wa ofisi za takukuru kna chimbo langu moja la bia...
Naona kna mzee mmja pale anaki grocery nacho cha longtime sana,chimbo hainaga shoboshobo
Like kiutu uzima

Ova
 
Mipango ilikuwa mbezi iwe zaidi ya obay na masaki kama plan ingebakia kama mwanzo
Basi mbezi beach ingekuwa kama Lavington fulani!
Ila sahv is ishakuwa vurugu ktk maeneo fulani sana sana pembezoni
Labda kunduchi na ununio sema ununio kuna sehemu moja wamejaa wazaramo+konde gang kna bonge la sqata
Kuna vigodoro hpo balaaa,sehem hyo ipo katikati ya mashuwaa😂😂😂
Jamaa kuhama wabishi

Ova

Mbezi Kunduchi ile ya Mwamunyange kwa Lipumba kilongawima ,bahari beach rudy farm kwenda ras kilomoni na mbweni jkt wazimantain hizo sehemu zisije kuwa changanyikeni kama mbezi beach.
 
Hv cornl hajatoka
Ambrosia pale unaweza kwenda jamaa wakakuzuia kuingia hata kama una mpunga wa kutumia pale,walikuwa wanachagua sana watu maalum wa kuingia pale

Ova

Bado atakuwa nyuma ya nondo.
 
Hahaha hao wahuni sana eti kidimbwi

Ova

Labda tuanzie hapa - Unajua kidimbwi unaruka tu kiulaini ata kama unatembea mwendo wa kawaida wakati kisima hauwezi ruka kiulani namna hiyo. Unaweza dumbukia kwenye kisima lakini kidimbwi hauwezi. Mara nyingi maji ya kidimbwi ni machafu maana si kisafi kama kisima. Sasa watwambie kwa nini panaitwa KIDIMBWI
 
Mbezi Kunduchi ile ya Mwamunyange kwa Lipumba kilongawima ,bahari beach rudy farm kwenda ras kilomoni na mbweni jkt wazimantain hizo sehemu zisije kuwa changanyikeni kama mbezi beach.
Kilongawima si kna bar ya resort ya wanangu fulani,jamaa kna kipindi nlikuwa naenda sana
Pale,sema kna wakat jamaa alikuwa anapiga miziki kwa nguvu singeli nlimwambia mambo gani tena haya jamaa akawa anachukulia poa
Ahh washuwa jirani walimletea zengwe bar ilifungwa miezi kadhaa akaomba sana msamaha
Naskia kafungua tena ila kanyooka

Ova
 
Labda tuanzie hapa - Unajua kidimbwi unaruka tu kiulaini ata kama unatembea mwendo wa kawaida wakati kisima hauwezi ruka kiulani namna hiyo. Unaweza dumbukia kwenye kisima lakini kidimbwi hauwezi. Mara nyingi maji ya kidimbwi ni machafu maana si kisafi kama kisima. Sasa watwambie kwa nini panaitwa KIDIMBWI
Hahahah jamaa alibuni sana jina kidimbwi
Sjui aliwaza nn

Ova
 
Mimi nilitoka 2007, iliisha anza kuwa ya ovyo. Nafikiri miaka 15-20 ago ndiyo ilianza kuchoka, watu wakaanza kupangisha hizi single rooms cheap, and kukawa na muingiliano mkubwa na hii kawe ya ukwamani
Sasa hizo nyumba kwani ni zako mpaka uie watu wakipangisha 100k
 
Kilongawima si kna bar ya resort ya wanangu fulani,jamaa kna kipindi nlikuwa naenda sana
Pale,sema kna wakat jamaa alikuwa anapiga miziki kwa nguvu singeli nlimwambia mambo gani tena haya jamaa akawa anachukulia poa
Ahh washuwa jirani walimletea zengwe bar ilifungwa miezi kadhaa akaomba sana msamaha
Naskia kafungua tena ila kanyooka

Ova

Washua mara nyingi hawapendi kelele , kule viwanja wamepima eka nzima ,hamna hamna nusu eka! Sema Watoto wa mwakitwange Rungwe Hotel na Watoto wa Sarungi wamefuga pori la hatari sana karibu eka 20 kwenda baharini.
 
Back
Top Bottom