Arnold Kalikawe
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 152
- 374
- Thread starter
-
- #61
Kwa hiyo mpaka umefika hapa, toka enzi waafrika wenzetu wanavakishwa minyororo na hadi leo unatembea kifua mbele bila kuvaa minyororo na bado unakuja kusema Afrika haijawahi kufanya vitu ikafanikiwa... Kipindi kina Kinjeketile kina Mkawa wanapambana upate uhuru, wanakufa hili wewe leo hii udunde mtaani unasema kuwa hakuna kitu tumefanya... Kweli wewe hauna shukurani, utabaki na fikra zako za kushindwa hivyo hivyoKitu gani Afrika imefanya kika fanikiwa ?
Unless African policy isipobadilika, hizo ni stori za vijiweni.Hata Nyerere alipoenda kudai uhuru aliambiwa hawezi kupewa uhuru, lakini leo hii wewe unadunda mtaani bila kuitwa mtumwa... Na unakuja hapa kusema haitawezekana... Hiyo simu yenyewe inayotumia kuna watu waliambiwa hawataweza kutengeneza lakini leo hii wewe ndio unadunda nayo... Sisi tutakukumbusha tu Mwalimu wa Mathe hapa ni wapi
Nyerere alikuwa na policy ambayo imepelekea Tanzania kuwa kama hivi Leo, kama angemsikiliza Kambona, tungekuwa mbali sana.Kwa hiyo mpaka umefika hapa, toka enzi waafrika wenzetu wanavakishwa minyororo na hadi leo unatembea kifua mbele bila kuvaa minyororo na bado unakuja kusema Afrika haijawahi kufanya vitu ikafanikiwa... Kipindi kina Kinjeketile kina Mkawa wanapambana upate uhuru, wanakufa hili wewe leo hii udunde mtaani unasema kuwa hakuna kitu tumefanya... Kweli wewe hauna shukurani, utabaki na fikra zako za kushindwa hivyo hivyo
Wewe miaka yangu haikuhusu, acha mbwembwe za kuita watu Dogo wakati hujui umri wao, hizo ni dharau sasa unaleta... Toa maoni umeshindwa vuta shuka ulale, hujalazimishwa maoni hapaDogo una miaka mingapi ?
Huyo ni nyerere na Kambona... Hapa ni Afrika na Sarafu yake, wewe unachotakiwa ni kuona kuna umuhimu au hakuna umuhimu wa kuwa na sarafu basiNyerere alikuwa na policy ambayo imepelekea Tanzania kuwa kama hivi Leo, kama angemsikiliza Kambona, tungekuwa mbali sana.
Una uhakika wewe bado haujafungwa minyororo ?Kwa hiyo mpaka umefika hapa, toka enzi waafrika wenzetu wanavakishwa minyororo na hadi leo unatembea kifua mbele bila kuvaa minyororo na bado unakuja kusema Afrika haijawahi kufanya vitu ikafanikiwa... Kipindi kina Kinjeketile kina Mkawa wanapambana upate uhuru, wanakufa hili wewe leo hii udunde mtaani unasema kuwa hakuna kitu tumefanya... Kweli wewe hauna shukurani, utabaki na fikra zako za kushindwa hivyo hivyo
Hiyo policy haijibadilishi yenyewe, inabadilishwa na mimi na wewe... Sasa wewe mwenyewe unaamini kwenye kushindwa alafu unataka policy ibadilike kivipi, policy itaendelea kubaki kama jinsi mawazo yako yalivyobaki kwenye kushindwaUnless African policy isipobadilika, hizo ni stori za vijiweni.
Una andika vitu ambavyo vinanipa mashaka kuhusu umri.Wewe miaka yangu haikuhusu, acha mbwembwe za kuita watu Dogo wakati hujui umri wao, hizo ni dharau sasa unaleta... Toa maoni umeshindwa vuta shuka ulale, hujalazimishwa maoni hapa
Umuhimu wa sarafu itadepend kwa factors nyingi ila ten years to come is impossible.Huyo ni nyerere na Kambona... Hapa ni Afrika na Sarafu yake, wewe unachotakiwa ni kuona kuna umuhimu au hakuna umuhimu wa kuwa na sarafu basi
Mimi sina minyororo... Labda kama wewe bado umefungwa minyororo.Una uhakika wewe bado haujafungwa minyororo ?
Walishindwa hata kumtetea wakati misaada yake walikuwa wanapokea, umimi mwingiRais Muammar Gaddafi alijaribu kulipigia debe hilo akaishia kuuawa na wamarekani, hilo litawezekana kama tu viongozi wote wa africa watakubaliana na kuweka msimamo na siyo kuwaachia viongozi wachache, na ni lazima kuwe na upinzani mkubwa sana toka nchi za magharibi maana hawako tayari kuona hili bara likiungana because unity means strength
Akili yako ina minyororo mingi sana.Mimi sina minyororo... Labda kama wewe bado umefungwa minyororo.
Wewe ndio unamawazo ambayo hayajakomaa... Unaleta imani za kushindwa kwenye mambo yanayowezekana... Profile picture isikuchanganye.Una andika vitu ambavyo vinanipa mashaka kuhusu umri.
You are still young hauja komaa bado ndio maana mawazo yako mepesi mepesi unafikiri yanawezekana Afrika
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Wewe ulikuwa na mategemeo gani ya habari
Kichwa cha habari hakiendani na yaliyomo.....Hivi karibuni kumekuwa na uhaba wa sarafu ya Dollar Duniani, kitu ambacho kimepeleka pia sarafu za nchi nyingi barani Afrika kuyumba, na vitu kupanda bei bila mpangilio.
Kwa sababu mimi pia ni Admin wa page moja ya facebook inayoitwa Icon Africa ambapo humo tupo ma-Admin wengi kutoka nchi za Afrika na kila mmoja anapost mambo ya nchi yake ususani utalii. Basi nikaamua kwenda kwenye page kuuliza ni namna gani tuwaweza kuwa na pesa yetu ya bara la Afrika ili kuepuka madhara ya Dollar.
Na kama mnavyojua nchi zetu nyingi za kiafrika bado zinatumia sarafu ya Dollar kufanya manunuzi sehemu mbali ndani na nje ya bara la Afrika. Hivyo ukosefu wa sarafu ya Dollar imepelekea pia nchi nyingi kutikisika kiuchumi. lakini endapo tungekuwa na sarafu yetu ya bara la Afrika kama jinsi ilivyo sarafu ya Ulaya (Euro [emoji387] €), basi tutakuwa imara kiuchumi, hata kama dollar ikitikisika, sisi bado tutakuwa salama. Na pia tutaweza kufanya manunuzi ndani ya bara letu bila kutatizwa na kupanda na kushuka kwa sarafu ya Dollar.
Nimeanza kuona muitikio mkubwa wa watu mbalimbali kwenye comment za hiyo post wakipendekeza Sarafu iitwe Afro au Afric. Na muitikio ni mkubwa na kila mwafrika anatamani tuwe na sarafu yetu. Haya maoni ni namna gani yanawezwa kufikishwa Africa Union na yakafanyiwa kazi kwa haraka. Maana sidhani kama kuna nchi ya kiafrika inataka kuendelea kuikumbatia dollar
Hata mwanzoni gaddafi alikuwa kama hao wanaobeba sifa za kiwaki ss hv, muda ukifika watawakana tu hao magenerali wao.Mabadiliko uanza na mimi... Kama kila mwafrika mmoja akiweka nia ya kuwa na sarafu mmoja, hili jambo linawezekana... Muammar Gaddafi aliibuka wakati mbaya, Siasa za kibeberu usijitoe wewe kama wewe kupingana nao, wewe sema wananchi ndio wamesema... Huoni Burkina Faso na Mali walivyomuweza Mfaransa, sio mtu mmoja ambaye alitoka kupigania nchi, bali raia wote... Lakini kule Libya kilichomua Gaddafi ni baadhi ya wananchi wake kuanza kumuita Dictator, wananchi wengine hawakumuunga mkono, na Marekani akishaona tu wengine hawakuungi mkono, ndio anawatimua hao hao kukuangamiza... Sasa sisi kama Afrika na mwafrika mmoja mmoja sote kwa pamoja tukisimama hawawezi kufanya kitu... Niger, Mali na Burkina Faso wananchi wote hawakutengana, waliungana na kua taifa kama taifa
Comment za Facebook🤡😆 kweli wewe bado dogo kabisa.Wewe ndio unamawazo ambayo hayajakomaa... Unaleta imani za kushindwa kwenye mambo yanayowezekana... Profile picture isikuchanganye.
Kwa kukutaarifu tu Ingia kwenye Page ya Iconic Africa uone namna waafrika kutoka nchi za kiafrika wanavyoona inawezekana alafu anatokea keyboard warrior mmoja ambae hana hata Passport kujua ugumu wa matumizi ya Dollar anaanza kusema haiwezekani kuwa na sarafu mmoja... We endelea kusonga ugali tu hapo ule ushibe ulale, kuhusu fikra pevu waachie wengine wanaoweza kupambanua... Mwenye akili hasemi inashindikana, anafanya utafiti kuleta majibu ya maswali yenye utata
Wapo baadhi ya viongozi wameweza kufanya vyema... Pia Usitumie reference ya viongozi wachache kujumuisha viongozi wote, uongozi unaanza na mimi na wewe... Sasa kama tu wewe mwenyewe unaamini kwenye kushindwa inamaanisha pia hiyo spirit ya kushindwa utaenda kuwaaminisha na wengine hatuwezi mwisho wa siku wote tunakuwa na fikra ya kushindwa... Wewe ukiamini kwenye kuweza hata watoto wako na watu wako utawaamnisha Tunaweza na mwisho wa siku tunafanya mageuzi... Sasa kama tu wewe unaamini kwenye kushindwa si tukikupa uongozi utakuwa kama hao hao walioshindwa... Ukitizama vizuri hata hayo mawazo kwamba waafrika hatuwezi ni kuwa umerithishwa na mwingine.. tukiendelea kurithishana mwishowe kushindwa kunatimia kwa sababu kila mtu anaamini kushindwaViongozi hawa hawa waafrika walivyo na ubnafsi vichwa vyao wanavijua wenyewe wakiingiaga ikulu mazuri yote yanafutika.
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app