Arnold Kalikawe
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 152
- 374
- Thread starter
-
- #81
Dogo umekaririshwa na wanafalsafa wa mitaani... Uhuru unaanza na fikra, mimi tayari niko huru na siamini kwenye kutumia Dollar miongoni mwa nchi zetu za Afrika... Wewe uliyefungwa minyororo ya fikra baki kwenye kuitukuza dollar...Akili yako ina minyororo mingi sana.
Ndio maana nimekuita dogo unafikiri minyororo ni kufungwa miguuni na mikononi.
Imenibidi nicheke😆 dogo unasema upo huru 😆 daaah!Dogo umekaririshwa na wanafalsafa wa mitaani... Uhuru unaanza na fikra, mimi tayari niko huru na siamini kwenye kutumia Dollar miongoni mwa nchi zetu za Afrika... Wewe uliyefungwa minyororo ya fikra baki kwenye kuitukuza dollar...
Keep exposing your stupidity
Brics hawana agenda ya sarafu moja... Wao wanakuza ushirikiano na ukuzaji wa uchumiKama brics wameshindwa Africa tusijidanganye
Hakuna neno AU kwenye kichwa cha HabariKichwa cha habari hakiendani na yaliyomo.....
Ni Kama vile AU imekuja na wazo la sarafu moja kumbe ni maoni yenu tu ....
Mawazo mazuri [emoji120]
Thamani ya hela yako kwa msudani (exchange rate) itakuwa based on what ili tuwe na sarafu moja?Kuwa na sarafu yetu moja haimaanishi tunataka kupigana na Dollar... Kuwa na sarafu yetu inamaanisha kufanya biashara sisi kwa sisi... Chukua mfano wewe unavyochukua pesa yako ya Shillings unaenda kununua Sukari bila kutumia Dollar hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa sarafu ya Afrika unapoenda kufanya biashara na Msudani au Muafrika kusini
Zingatia ;Hivi karibuni kumekuwa na uhaba wa sarafu ya Dollar Duniani, kitu ambacho kimepeleka pia sarafu za nchi nyingi barani Afrika kuyumba, na vitu kupanda bei bila mpangilio.
Kwa sababu mimi pia ni Admin wa page moja ya facebook inayoitwa Icon Africa ambapo humo tupo ma-Admin wengi kutoka nchi za Afrika na kila mmoja anapost mambo ya nchi yake ususani utalii. Basi nikaamua kwenda kwenye page kuuliza ni namna gani tuwaweza kuwa na pesa yetu ya bara la Afrika ili kuepuka madhara ya Dollar.
Na kama mnavyojua nchi zetu nyingi za kiafrika bado zinatumia sarafu ya Dollar kufanya manunuzi sehemu mbali ndani na nje ya bara la Afrika. Hivyo ukosefu wa sarafu ya Dollar imepelekea pia nchi nyingi kutikisika kiuchumi. lakini endapo tungekuwa na sarafu yetu ya bara la Afrika kama jinsi ilivyo sarafu ya Ulaya (Euro [emoji387] €), basi tutakuwa imara kiuchumi, hata kama dollar ikitikisika, sisi bado tutakuwa salama. Na pia tutaweza kufanya manunuzi ndani ya bara letu bila kutatizwa na kupanda na kushuka kwa sarafu ya Dollar.
Nimeanza kuona muitikio mkubwa wa watu mbalimbali kwenye comment za hiyo post wakipendekeza Sarafu iitwe Afro au Afric. Na muitikio ni mkubwa na kila mwafrika anatamani tuwe na sarafu yetu. Haya maoni ni namna gani yanawezwa kufikishwa Africa Union na yakafanyiwa kazi kwa haraka. Maana sidhani kama kuna nchi ya kiafrika inataka kuendelea kuikumbatia dollar
Watu wanafikiri ni kwasababu ya dollar kumbe kwasababu ya umasikini wa nchi.Swali fikirishi je ni kwa kiasi gani nchi za kiafrika zinafanya biashara baina yao?
Gadaffi hakusapotiwa na baadhi ya wananchi wake... Alafu hii sarafu moja ya Afrika sio ishu ya kisiasa bali kiuchumi... Gadaffi alitoa kauli kama mtu binafsi, lakini agenda ya sarafu tunaitoa kama waafrika wote na si kutegemea rais ndio atoe... Wazungu hawawezi kuua waafrika wote eti kisa wamedai sarafu mmoja, lakini watamuua mtu mmoja endapo yeye peke yake ndio atasimama peke yake kudai...Hata mwanzoni gaddafi alikuwa kama hao wanaobeba sifa za kiwaki ss hv, muda ukifika watawakana tu hao magenerali wao.
Mfano mdogo.Kuwa na sarafu yetu moja haimaanishi tunataka kupigana na Dollar... Kuwa na sarafu yetu inamaanisha kufanya biashara sisi kwa sisi... Chukua mfano wewe unavyochukua pesa yako ya Shillings unaenda kununua Sukari bila kutumia Dollar hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa sarafu ya Afrika unapoenda kufanya biashara na Msudani au Muafrika kusini
Nimeshakwambia kula nyama nyamaza... Hao unaowaita wapumbavu wengine wanakuzidi Elimu na Exposure, wakati wewe ukisafiri sana ni umeenda Tandahimba, Passport huna, unabaki kuwa Keyboard warrior wa jamii forum... sasa facebook na jamii forum zina utofauti gani, tena at least Facebook kuna Raia wa nchi kibao wanaleta Exposure kwenye comment section wakati wewe umekalia U-CCM na U-Chadema humuComment za Facebook[emoji1782][emoji38] kweli wewe bado dogo kabisa.
Afrika imejaa wapumbavu wengi sana wasiojua lolote mradi siku imeenda usifurahie kuungwa mkono na wajinga wenzako
Viongozi wanao waza uchaguzi muda wote,hawawezi kutimiza mambo mazito kama hayo.Sema ueleweke... Mbona unaongea mipasho, toa wazo kama mwenye akili timamu
Mi niko huru Dogo, wewe endelea kubaki kwenye hiyo minyororo ya wazungu na vyama vya siasa ndio Topic zenu... Kujua kuliongelea CCM ndio unadhani ni exposure [emoji23]. Dogo bado unasafiri ndefu sana ya kujua uhuru ni nini, baki kwenye minyororo ya fikraImenibidi nicheke[emoji38] dogo unasema upo huru [emoji38] daaah!
Dogo wewe UVCCM nini ? maana hamna akili nyie.
Kwani thamani ya Euro kati ya Waespania na Wajerumani inakuwaga based on what?Thamani ya hela yako kwa msudani (exchange rate) itakuwa based on what ili tuwe na sarafu moja?
Kwani hii ndiyo mara ya kwanza kuongelewa? Kwenye ukanda tu hakuna hivi kungekuwa na matumaini East Africa tungekuwa tayari, sahizi watu wanapinduana .Wapo baadhi ya viongozi wameweza kufanya vyema... Pia Usitumie reference ya viongozi wachache kujumuisha viongozi wote, uongozi unaanza na mimi na wewe... Sasa kama tu wewe mwenyewe unaamini kwenye kushindwa inamaanisha pia hiyo spirit ya kushindwa utaenda kuwaaminisha na wengine hatuwezi mwisho wa siku wote tunakuwa na fikra ya kushindwa... Wewe ukiamini kwenye kuweza hata watoto wako na watu wako utawaamnisha Tunaweza na mwisho wa siku tunafanya mageuzi... Sasa kama tu wewe unaamini kwenye kushindwa si tukikupa uongozi utakuwa kama hao hao walioshindwa... Ukitizama vizuri hata hayo mawazo kwamba waafrika hatuwezi ni kuwa umerithishwa na mwingine.. tukiendelea kurithishana mwishowe kushindwa kunatimia kwa sababu kila mtu anaamini kushindwa
HaswaKuiba wanaweza, ila kuwa na Sarafu yetu wanaona ni jambo ambalo haliwezekaniki [emoji23] Bongo nyosoo
Yeah sura kabisa... Kiuhalisia Afrika ni nchi tajiri sana, hivyo hata tukiwa na sarafu yetu, kutokana na rasilimali tulizonazo basi sarafu lazima iwe na nguvu Duniani... Kwa sababu hili mataifa mengine hafanye biashara na nchi yoyote ya bara la Afrika yatalazimika kuwa au kununua sarafu ya bara la Afrika, ili iwe rahisi kufanya miamala... Stability itakuja tu maana resources nyingi za duniani zinatoka Africa, watanunua kwa pesa yetu... Lakini tukibaki kila mmoja kivyake basi itatubidi tuendelee kutumia Dollar na kuendelea kuifanya iwe na nguvu zaidiZingatia ;
Kitu Cha muhimu ni uimara (stability) wa hiyo sarafu, utahitaji bidhaa nyingi na zenye ubora kuweza kuistabilize hiyo sarafu...usisahau political positions na stability za wahusika....
Ushauri Wangu hili jambo ni zuri Ila liwe la kiuchumi zaidi ya kuwa la kisiasa
Unajua kwa nini nchi za Afrika hatufanyi biashara baina yetu, kikwazo kikuu hapo ni Dollar... Sukari utakayoenda kumuuzia Mzambia atakupa dollar chache kwa sababu yenye mwenyewe hana Dollar za kutosha, lakini hiyo hiyo sukari ukienda kuiuza Marekani utapewa Dollar nyingi... Sasa mtu hapo si lazima akatae kufanya biashara na Muafrika mwenzake kwa sababu hana Dollar, mwisho wa siku ataenda kumuuzia mzungu hili apate Dollar nyingi... Ndio maana nikasema hili biashara tuweze kufanya baina yetu nchi za Afrika inatakiwa tuwe na sarafu mmoja ili kusiwe na kizingiti cha Sarafu ya Dollar.. kwa sababu sasa hivi hili wewe uende kula Bata south Africa inapaswa uwe na Dollar, tayari hapo ni kikwazo. Na Dollar ukiyumba basi ndio hivyo tenaWatu wanafikiri ni kwasababu ya dollar kumbe kwasababu ya umasikini wa nchi.
Utatengeneza sarafu halafu kinachofuata? Nchi za afrika ni masikini, uzalishaji mdogo, teknolojia ndogo, sera mbaya ya uchumi na uongozi mbaya. Nchi za afrika zenyewe hazifanyi biashara baina yaom
Utakuwa na sarafu lakin bado upo pale pale kwenye umasikini.
Mtu aliyeoko Congo brazaville kukutumia 2000 ya kibongo haiwezekani ila mtu aliyeoko DRC, Kenya, burundi, rwanda na malawi unaweza kumtumia hela. Je, tunafanya biashara baina yetu?
Ushawahi kununua bidhaa kenya, wakakataa wanataka dollar?Hazifanyi baina yao ambapo pia moja wapo ya sababu ni uaba wa Dollar... Kenya ikiuza TV haitataka kuiuzia Tanzania kwa sababu Shilling yetu haina nguvu, watataka kutuuzia kwenye Dollar, na kwenye Dollar napo Tanzania ina uaba hivyo Kenya atalazimika kupeleka bidhaa zake kwenye nchi zenye Dollar nyingi ili alete Dollar Nchini kwake... Sasa wewe unauza kitu hili upate Dollar, alafu ukamuuzie tena mwenzako ambae naye hana Dollar kama wewe? Ndio maana nchi nyingi za Afrika zinafanya biashara na nchi za nje ya bara la Afrika sababu kuu ni kwenda kuitafuta Dollar... Sasa tukiwa na sarafu yetu basi biashara zetu hazitahitaji tena kutumia Dollar bali sarafu yetu wenyewe tunakuwa tunafanya nayo biashara