Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kila mmoja atazomewa kwa muda wake.Huwezi kuzomea vibaka wawili at a time wakati wapo sehemu tofautitofauti.Umzomee,amefanya nini?
Kwa sababu anawasapoti M23?
Wa Emirati wanaiunga mkono RSF wanaleta unnecessary complication katika kuimaliza vita ya Sudan,mbona hatujasikia mtu yoyote anawazomea?
Acha kutetea mauaji mkuu!Acha ujinga wako mumzomee kwa sababu gani? Hujui historia ya mgogoro Ndio maana unazungumza ujinga huu!
Leo hii Mkiamua kuwapa kipigo wamasai wa Tanzania unadhani wamasai wa Kenya wataacha kuja kuwasaidia ndugu zao? Ndio Kagame anachofanya DRC.
Jana nimesikia radio France International (RFI) wakizungumza kwamba uwezekano wa kagame kuja Dar es salaam leo ni mdogo sana.Huenda asihudhurie
๐คฃ๐คฃ๐คฃHicho kizee kijinga sikipendi sana.Miongo na miongo kinakwba mali za DRC na kuleta mauaji tu.Bloody "long person"!
Kinachoendelea pale Eastern Congo ni sahihi kabisa. M23 na makundi mengine yaliyoungana nao wanapigania haki yao ambayo serikali iliyopo Kinshasa inawanyima! Mgogoro ndio upo hapo. M23 are bona fide Congolese who the Kinshasa government has decided not to recognize them as such! They have no option except to fight for their god given right!Kumbe
Acha kutetea mauaji mkuu!
Kwahiyo unaona kinachoendelea pale DRC ni sahihi?
Kagame ni mpumbavu wala hakuna jambo jingine.Acha ujinga wako mumzomee kwa sababu gani? Hujui historia ya mgogoro Ndio maana unazungumza ujinga huu!
Leo hii Mkiamua kuwapa kipigo wamasai wa Tanzania unadhani wamasai wa Kenya wataacha kuja kuwasaidia ndugu zao? Ndio Kagame anachofanya DRC.
Unataka watanzania kule Rwanda wafurushwe sio?Kwa wanaojua ratiba ya kufika Kagame, tafadhali. Tunataka tumuandalie hafla ya kumzomea
Kwanini unamuita mpumbavu? Kwa kulinda maslahi ya nchi yake?Kagame ni mpumbavu wala hakuna jambo jingine
Haina shida, mwenda kwao si mtumwaUnataka watanzania kule Rwanda wafurushwe sio?
Uongo, yaani hao watu waliokuwa wanajeshi enzi zile ndio wasumbue? Hao tayari ni vikongweKwanini unamuita mpumbavu? Kwa kulinda maslahi ya nchi yake?
Kumbuka DRC inawafuga watu ambao walihusika na genocide Rwanda na mpaka sasa wanashambulia Rwanda from Congo! Ungekuwa wewe ndio mwana nchi wa Rwanda ungechukua hatua gani?
Fikiria upumbavu anaoufanya huo ujinga.Kwanini unamuita mpumbavu? Kwa kulinda maslahi ya nchi yake?
Kumbuka DRC inawafuga watu ambao walihusika na genocide Rwanda na mpaka sasa wanashambulia Rwanda from Congo! Ungekuwa wewe ndio mwana nchi wa Rwanda ungechukua hatua gani?
Kwani Hawazaani? Wana jeshi kubwa linaloungwa mkono na serikali ya DRC!Uongo, yaani hao watu waliokuwa wanajeshi enzi zile ndio wasumbue? Hao tayari ni vikongwe
Itakuwa Ujumbe murua kabisa kwake!!Kwa wanaojua ratiba ya kufika Kagame, tafadhali. Tunataka tumuandalie hafla ya kumzomea
Waambie nao waje uone kama hatujawazomea!Umzomee,amefanya nini?
Kwa sababu anawasapoti M23?
Wa Emirati wanaiunga mkono RSF wanaleta unnecessary complication katika kuimaliza vita ya Sudan,mbona hatujasikia mtu yoyote anawazomea?
Inaelekea hujui chanzo cha huu mgogoro unaishia kutukana!Fikiria upumbavu anaoufanya huo ujinga.
Chiembe muhutu wa Kigali rudi kwenu,tumechoka na ukabila wakoHaina shida, mwenda kwao si mtumwa
Acha ujinga wako mumzomee kwa sababu gani? Hujui historia ya mgogoro Ndio maana unazungumza ujinga huu!
Leo hii Mkiamua kuwapa kipigo wamasai wa Tanzania unadhani wamasai wa Kenya wataacha kuja kuwasaidia ndugu zao? Ndio Kagame anachofanya DRC.
Absolutely. Hao M23 wanapigania HAKI zao. Utawala wa nchi hauwezi kufanya DHULUMA kubwa kiasi hicho halafu uachwe tu hivi hivi bila kuadhibiwa, Kamwe haiwezekani kabisa.Kinachoendelea pale Eastern Congo ni sahihi kabisa. M23 na makundi mengine yaliyoungana nao wanapigania haki yao ambayo serikali iliyopo Kinshasa inawanyima! Mgogoro ndio upo hapo. M23 are bona fide Congolese who the Kinshasa government has decided not to recognize them as such! They have no option except to fight for their god given right!