Kwani ukisema hujui utachekwa? Usijifiche kwenye masihara ya chama chakavu na chadema brazaTofauti yake ili uelewe kirahisi usiumize kichwa ni kama tofauti ya jengo la CCM makao makuu Na lile jengo la Chadema makao makuu
mashabiki wa jiwe huwa hawaangilii historia ya miradiHongera jk , unapaswa kujivunia kwa mradi uliouanzisha kukamilika leo hii
Wale nyumbu watakuja kumpongeza jiwe hapa
Hiyo ni pesa ya wajapan, hakuna shilingi ya Tanzania hapo.Hii ni pesa ya kodi, mikopo au misaada hivyo hakuna cha hongera kwa watu kufanya kazi zao wanatakiwa kufanya zaidi sana ya hapa bado sana
Huyo mtu wenu kila mwenye akili timamu hawezi kumpenda wala kumshabikia isipkuwa nyinyi vibaraka wake mnaofaidika nae.Huu uzi wanaupita kama hawauoni ila kinawauma huku wakiteleza na magari yao pale. Mxiuuuuuuuuu
Sasa umevuka mipaka yote ya ustaarabu. Kijana umeghafilika na kumkosea heshima kiongozi wa nchi. InasikitishaHata Hitler alijenga madaraja!
Toa upuuzi hapa.Sasa umevuka mipaka yote ya ustaarabu. Kijana umeghafilika na kumkosea heshima kiongozi wa nchi. Inasikitisha
Acha kujipendekeza mjinga wewe!!Sasa umevuka mipaka yote ya ustaarabu. Kijana umeghafilika na kumkosea heshima kiongozi wa nchi. Inasikitisha
Chadema mbona inapata za ruzuku Na fedha za wafadhili wa ndani Na nje mbona hamna cha kuonyesha.Jengo la makao makuu ni takataka.Sisi wanaona wazi serikali ya CCM tumefanyia nini.Chadema mna nini cha kuonyesha wafadhili wenu?Hii ni pesa ya kodi, mikopo au misaada hivyo hakuna cha hongera kwa watu kufanya kazi zao wanatakiwa kufanya zaidi sana ya hapa bado sana
Wapendwa habari.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Matunda ya Rais magufuli twayaona. wa TZNIA leo kwa mara ya kwanza wameonja fly over. Woote tumpe kura 2020
Magu oyeeeeeeeeeeeeeeeee. kama ulaya vile
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji233] [emoji233] [emoji233]Tofauti yake ili uelewe kirahisi usiumize kichwa ni kama tofauti ya jengo la CCM makao makuu Na lile jengo la Chadema makao makuu
Chadema mmejenga nini cha kuzindua.Hamjui uzinduzi wa majengo ni kitu gani sababu jengo la Makao makuu hata lipu hamjawahi piga.Mambo ya majengo tuachieni wajenziHivi ni kwanini kila barabara, daraja... miradi ya serikali mnaona kama ni huruma ya mfalme wakati hayo ndiyo majukumu ya serikali. Wenzetu miradi kama hii ni midogo sana na ya kawaida na wala hakuna sherehe kila kadaraja kakifunguliwa. Na hii ndiyo maana serikali haifanyi kazi maana mnawapa kichwa kama vipi ni msaada! yaani Watanzania wangeona serikali nyingine zinavyofanya kazi na kodi wangelia machozi!
Wewe ndiye mwerevu, na mwenye kutojipendekeza, kwani chadema ni mali ya wazazi wako.Acha kujipendekeza mjinga wewe!!
Mbona umeandika kama mwanamke muimba taarabu?Wapendwa habari.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Matunda ya Rais magufuli twayaona. wa TZNIA leo kwa mara ya kwanza wameonja fly over. Woote tumpe kura 2020
Magu oyeeeeeeeeeeeeeeeee. kama ulaya vile
Chadema mmejenga nini cha kuzindua.Hamjui uzinduzi wa majengo ni kitu gani sababu jengo la Makao makuu hata lipu yamjawahi piga.Mambo ya majengo tuachieni wajenzi
Wewe mwenyewe kwenda nje mbona unaona kama bonge la success mbona huoni kama ni kitu cha kawaida? Na wewe mbumbumbuTatizo vijana wengi mmekuwa wajinga wajinga siasa iwe CCM au Chadema haitasaidia maendeleo yako sisi tunaongelea nchi. Wengine hata hatupo Tanzania kwa sasa tunatafuta pesa turudishe kwa nchi na ndugu zetu kwa maisha bora. Msije mkashinda kuangalia Chadema na CCM tunatakiwa kujali ushindani wa kidunia ya sasa ambao unaenda kwenye technologia. Tuachane na vidaraja, vindege kimoja kimoja tuone ni mambo ya kawaidia maana tupo nyuma sana bado. Yaani danger kubwa Tanzania ya sasa ni tuna vijana wengi mbumbumbu.