KERO Barabara ya Kisemvule (Kitunda) ni mbovu kupita kiasi

KERO Barabara ya Kisemvule (Kitunda) ni mbovu kupita kiasi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna hii barabara ya kutoka Kisemvule stendi kuja Mpera mashariki ni mbovu mpaka inapelekea nauli kuongezeka.

Pindi mvua zikinyesha barabara inapitika kwa tabu.
 
Huko si mbunge wao yule dada mwenye nyenyenye kubwa ??
 
Back
Top Bottom