A Anonymous Guest May 7, 2026 #1 Kuna hii barabara ya kutoka Kisemvule stendi kuja Mpera mashariki ni mbovu mpaka inapelekea nauli kuongezeka. Pindi mvua zikinyesha barabara inapitika kwa tabu.
Kuna hii barabara ya kutoka Kisemvule stendi kuja Mpera mashariki ni mbovu mpaka inapelekea nauli kuongezeka. Pindi mvua zikinyesha barabara inapitika kwa tabu.
El Mincho JF-Expert Member Joined Apr 27, 2009 Posts 2,207 Reaction score 4,953 May 7, 2026 #2 Huko si mbunge wao yule dada mwenye nyenyenye kubwa ??