Barabara ya Mwendokasi kutoka Maktaba hadi Tegeta kuanza kujengwa, Ubungo Kimara kufumuliwa

Barabara ya Mwendokasi kutoka Maktaba hadi Tegeta kuanza kujengwa, Ubungo Kimara kufumuliwa

Na wa mapinga watasema Kwa nini imeishia Bunju?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba Kila mtu ana hoja ya msingi

Bhac iende mpaka Bagamoyo, then baadaye waliweza iende mpaka msata.

Hii ya Morogoro road sahv Iko mpaka kibaha ila miundombinu Bado
 
Mandela Road kutoka Buguruni hadi Ubungo bado?
Barabara hii sipati picha, siku ujenzi utakapo anza, maana sasa hivi hakuna hata marekibisho, ila kuna foleni inayosabisha, kuwepo kwa malori mengi.
 
Dart wakijipanga vizur kwa siku wanaweza ingiza milion 300 ikawa kitega uchumi tegemeo kwa mapato ya taifa kuliko hata Hela bandari inaingiza kwa siku.
Wanunue tu management toka nje itoe huduma Bora
 
Diwani wetu wa kingolwira bomba la zambia kapata ajari,waliopo kazini hawatusemehi,sisi tunahitaji barabara ya kifusi tu,yaani vifusi kama 100 na kusawazisha tu. Tunawaomba sana.
 
Back
Top Bottom