Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Bomoa majengo miundombinu ipiteHiyo sahau haitakaa iwezekane, hv huoni tuu Barabara ya mwendokasi ilivyopita pale kisutu mpaka kuja kutokea huku Posta ya zamani kwa kuforce, Sasa hizo njia SITA zitapita wap mpaka kivukoni
Hawanaga longterm plan hawaNashangaa mwendokasi inaishia tegeta tuu ,kwann isingeendelea mpaka bunju?
Ehe mtabomoa nini pale moroco ili flyover ikae,Morocco tunaomba fly over tunakaa nusu saa nzima kwenye mataa
Kama vipi iishie pale DITHiyo sahau haitakaa iwezekane, hv huoni tuu Barabara ya mwendokasi ilivyopita pale kisutu mpaka kuja kutokea huku Posta ya zamani kwa kuforce, Sasa hizo njia SITA zitapita wap mpaka kivukoni
lile ni daraja la kufungua na kufunga tu.Hapa bondeni kile kivuko cha juu kitarekebishwa vipi ili kuruhusu mwendo kasi?
Na wa mapinga watasema Kwa nini imeishia Bunju?Nashangaa mwendokasi inaishia tegeta tuu ,kwann isingeendelea mpaka bunju?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba Kila mtu ana hoja ya msingiNa wa mapinga watasema Kwa nini imeishia Bunju?
Barabara hii sipati picha, siku ujenzi utakapo anza, maana sasa hivi hakuna hata marekibisho, ila kuna foleni inayosabisha, kuwepo kwa malori mengi.Mandela Road kutoka Buguruni hadi Ubungo bado?
Wakimaliza Dar watakuja huko mavumbini tuliza ballserikali inajua dar tu ndo kunaitaji bara bara ila mikoani tuendelee kula vumbi??
Phase ya nne ,wanakimbiza speed Gerezan Gongo la mboto,hadi December gari za blue ziwe zinapitaMandela Road kutoka Buguruni hadi Ubungo bado?