Barakoa yawa vazi rasmi Ikulu

Sawa, my point is not being dead or alive. Point ni kuwa Jiwe lenu linaoza huko kwa mashetani mlilolitegemea kuishi
Nigg-a prepare for same shi-t..Six feet under is for every bloodied soul..kwanza ni tusi kwa wazazi wako (kama wameshafariki) ama wana ukoo wako waliokwisha fariki kurefer marehemu kuwa "wanaoza"
 
Wwe unaonekana Amb MulaMula humjui vizuri,yule ni msaani sana kumpita hata Mama Tibaijuka!!

Wa kulinganisha si wangekuwa:

Amb. Mulamula : Amb. Prof. Kabudi

Tibaijuka hakuwa wizara hiyo.
 
Kwa kitendo hicho tu cha Raisi kuvaa barakoa nchini kiwango cha watalii lazima kishuke kwa spidi sababu waliamini Tanzania pako safe

Sekta ya utalii ijiandae kuporomoka kwa spidi ya 5G

Mapato yatashuka sanaaaaaaaa hawaji
nobody believed that nonsense
 
Ni wewe tu..wewe uliona propaganda wakati uhalisia ni ilikuwa ni kampeni ya kurudisha nchi kwenye misingi na ikapata uungwaji mkono mkubwa.
Misingi ipi alileta, alirudisha Azimio la Arusha ?
 
Kwa kitendo hicho tu cha Raisi kuvaa barakoa nchini kiwango cha watalii lazima kishuke kwa spidi sababu waliamini Tanzania pako safe

Sekta ya utalii ijiandae kuporomoka kwa spidi ya 5G

Mapato yatashuka sanaaaaaaaa hawaji

Kweli wajinga ndiyo waliwao.
 
Gwaji -"mzee wa kumaliza ndan ya dakika mbili" akimfufua "mwendazake" aisse mwendazake atarudi huko anapoongoza ma-angel" maana mambo yamebadilika utfikiri upinzani ndio ulikuwa unaongoza nchi.
 
Wa kulinganisha si wangekuwa:

Amb. Mulamula : Amb. Prof. Kabudi

Tibaijuka hakuwa wizara hiyo.
Msanii ni Msanii tu,hata akiwa anafanya kazi office ya Kata!tabia haijifichi!!
 
Nigg-a prepare for same shi-t..Six feet under is for every bloodied soul..kwanza ni tusi kwa wazazi wako (kama wameshafariki) ama wana ukoo wako waliokwisha fariki kurefer marehemu kuwa "wanaoza"
Mama yako muulize ananijua, nitakwenda naye hko six feet. stupid.... mpuuz mkubwa wewe kumbe, stupid burger
 
Mama yako muulize ananijua, nitakwenda naye hko six feet. stupid.... mpuuz mkubwa wewe kumbe, stupid burger
Stepped right into your nerves nigg-a..seems ushapoteza wazazi it's reverse psychology and it worked on you
 
Wa kulinganisha si wangekuwa:

Amb. Mulamula : Amb. Prof. Kabudi

Tibaijuka hakuwa wizara hiyo.
Mama Tibaijuka alitaka kuuza Aridhi ya Kigamboni kisa Wawekezaji! Hali kazalika na Amb MulaMula ndiyo walewale ambao wako tayari hata kuuza Aridhi yetu kwa kisingizio Cha uwekezaji!!
 
Hiyo mikusanyiko iko Ikulu tu!? Mbona huko kwenye mikusanyiko ya kweli Kama vile stand na masokoni hatuzioni hizo Barakoa!?
mikusanyiko inayotaka barakoa ni ile yenye hewa bandia (AC) sio hiyo unayoisemea wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…