evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Kwa taarifa yako you are very wrong what you believe is wrong uteuzi umefanywa kidini purposefullyWaislamu bwana shida tupu.Ungejua hata kwamba Rais hakuwa na mawazo ya udini wala unzanzibari alipokuwa ana-zoom kutafuta mawaziri! I believe he was more interested in professionalism.Be positive,mawazo hasi hayatawafikisha popote,mtajiletea visukari na pressure bure wakati mwenzenu hata hayuko huko.
Mkuu wa majeshi MuislamuRais Mkristo
Makamu wa Rais Muislam
Waziri mkuu Muislam
Jaji Mkuu anaemuapisha Rais Muislam
Utakuwa ni wale waislamu ambao hamjitambui mlioishia kusoma juzuu na kuimba kaswidaMimi ni mwislam, ila alieleta mada hii ni Mjinga, unastahili tu kuelimishwa huenda ukaeleimika, ukaondokana na ujinga. Kwa hiyo ulitaka rais achague baraza la mawaziri lenye wakristo 50% na waislam 50%?. Kwa hiyo achague tu kukuridhisha wewe kwa idadi hiyo hata kama watendaji husika hawawezi kazi.......
Mna shida kweli kweli,yaani mmejaa ushari tu.Anyway hebu be realistic,hivi akiteua kidini anapata faida gani?Nipe advantages moja,mbili,tatu au hata zaidi.Kwa taarifa yako you are very wrong what you believe is wrong uteuzi umefanywa kidini purposefully
Umeshasema raisi wa Zanzibar , huyo siyo waziri wa serikali ya JMT2. Raisi wa Zanznibar ni sehemu ya Baraza la Mawaziri la Raisi wa Muungano
Embu Google kitu kinaitwa social inclusion ndio utaelewa faida zakeMna shida kweli kweli,yaani mmejaa ushari tu.Anyway hebu be realistic,hivi akiteua kidini anapata faida gani?Nipe advantages moja,mbili,tatu au hata zaidi.
Shida tupu.Hata hivyo,mbona kuna viongozi wengi tu Waislamu,tena wakubwa,akiwemo Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.Acheni figisu figisu zisizo na maana.Na kama hajaona Waislamu wanaofaa,àfanyeje achukue tu kwa kuwa ni Waislamu?Au je kama hao wanaofaa hawajaingia kwenye radar yake?Narudia tena Waislamu kueni positive,itawapa heshima zaidi.Embu Google kitu kinaitwa social inclusion ndio utaelewa faida zake
Stupid wewe. Nchi ni pamoja na kumaintain social fabrics.Katika utendaji hakuna udini , Ujinsia na Uzanzibar au Ubara
huelewi the big pictureDebate ya waziri gani katoka wapi na ni wa dini gani utaikuta kwenye sh**hole countries tu. Hivi umeshawahi kusikia Wamarekani au Waingereza, kwa mfano, wakijadili secretary gani katoka upande gani wa nchi na ni wa dini gani? Jibu sote tunalijua; hawajadili huu upuuzi, kwa sababu hauna tija kwa taifa!
Kijana hueleweki sijui umekunywa wanzuki wewe duu!!!.Ofcourse wewe ni muislamu mwenye siasa kali kama zile za alshabaab,ISIS na Boko Haram.
Na pengine wewe ni member wao na uliwahi kusumbua huko Kibiti kabla ya kukimbilia Msumbiji.
Imani ya mtu ni matendo yake.
Mtu anaweza kuwa Joshua ama John lakini ni alshabaab kama wewe na ndugu yako Ruyagwa.
Anaweza pia kuwa Seif lakini ni kafiri kama mnavyopenda kuwaita.
Au wanaweza kuwa mapagani nk.
Sasa imani zao umezitambuaje?
Kwa kuangalia majina???
Hell No!upo wrong sana.
Baraza la mawaziri Zanzibar hakuna hata mmoja mwenye jina la kigalatia lakini watu kimya,ni kwa sababu huko ni siasa na sio sehemu ya kufanyia ibada.
So long as hawabughudhiwi wanaposali basi hata mmoja asipopewa ni sawa tu.
Likewise kwa huku Tanganyika.
Wanasiasa hawana dini,ukinyimwa uhuru wa kuabudu lalamika lakini sio kwenye hili la siasa.
Magu simkubali kwa mengi lakini hili la kuwathibiti alshabaab wa Kibiti namnyooshea mikono.
Na kwa hili pia la kutojali ujinga ujinga wa Udini na ukanda
Loftins,Heshima yako mkuu
huelewi the big picture
Duh ukizungumzia MaDED, maDAS , wakurugenzi wa mashirika ya umma, makatibu wakuu, Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya Huko Waislamu idadi yao ni chache sana pia.
Kiufupi utawala huu unanuka udini ajabu
Ukiwa unaanzisha thread kama hizi usiweke mihemko, hauna uthibitisho wowote wa kusema wakristo wataungana, kama unao hebu weka ushahidi hapa.Huwa mnaungana pamoja na kuteteana kwenye maslahi ya watu wa dini yenu.
Nahisi ningeishia kutaja wanawake na wazanzibar peke yake mgeunga mkono hoja, ila kitendo cha kutaja kuhusu umuhimu wa kuwepo kwa notable inclusiveness ya waislamu kwenye baraza mmeona hii mada haijakaa sawa hahaha
Kemeeni teuzi za udini, nchi hii ni yetu sote
Lakini tutaendelea kulisema hili maana halijakaa sawa
Sijawahi kupiga kura kuchagua mwakilishi, wala shehia wala raisi wazanzibar. Hilo swali linawafaa wazanzibari zaidiHuko Zanzibar kuna wakisto wangapi kwenye baraza la mawaziri la Hussein Mwinyi? Siungi mkono Uteuzi wa mawaziri wa JIWE usiozingatia umoja wa nchi yetu; haingii akilini kwa wilaya moja ya IRAMBA kutoa mawaziri watatu as if hakuna wananchi toka sehemu zingine za nchi wanaostahili kuteuliwa!!!
Nahisi umerukia mada, ingekuwa ni vyema ukarudia kusoma mada husika, kisha ukasoma post uliyoiquote ambayo nilikuwa namjibu yule bibie uone muktadha mzima wa hiyo post.Ukiwa unaanzisha thread kama hizi usiweke mihemko, hauna uthibitisho wowote wa kusema wakristo wataungana, kama unao hebu weka ushahidi hapa.
Hii tabia ya kuangalia dini za watu kila mara likitajwa Baraza la Mawaziri ni kudumaza akili, mna stuck hapo every year as if mliambiwa waislamu msipokuwepo kwenye hilo Baraza la Mawaziri mtauzwa utumwani, mara mseme nchi ya wakatoliki etc.. siku zote aliwazalo mjinga......!!
Haya mawazo yenu ya kichovu yanachangia kwa kiasi kikubwa sana kurudisha nyuma harakati za kulikomboa hili taifa, miaka yote hamjiamini ni kulalamika tu, serikali ikifanya unyama wake kwa raia siku zote haiangalii dini zao, wala rangi, au kabila; simply wanapiga wote tu, amkeni usingizini.
Na hii tabia ya kuwa mfia dini nayo inachangia sana kudumaza akili za wengi, hizo dini zimeletwa na waarabu na wazungu, wewe umepokea tu, jiongeze utoke kwenye hiyo mental slavery uliyomo.
Kule juu kabisa umejibiwa vizuri sana na Mama Amon, sijaona popote ulipo react, naamini umeona hoja zake umezisoma na kuzielewa vizuri ukaamua kufunga mdomo.
Na ukiona umefungwa mdomo na hoja za mwingine maana yake hoja zako ni dhaifu, hivyo kistaarabu unatakiwa ujifunze kwa mawazo ya wengine, sio kuchagua hoja dhaifu na kuzijibu ili ku-justify ulichokiandika hapa ni sawa, ila ukweli ni wrong sio sahihi, mawazo yako ni mgando.
NB. Huu uzi nimeuona muda mrefu ila sikuwa interested kuuchangia kwa sababu haya mambo ya dini kwangu sio mpenzi kiivyo, yanadumaza akili tu; mpaka nilipoiona hiyo comment yako hapo juu ndio nikajua una udhaifu kichwani, unahitaji kuamshwa usingizini, siku zote naiangalia roho yangu na matendo yangu zaidi.