Baraza Jipya la Mawaziri 2020: Hizi ndizo kasoro kuu 3 ninazoziona

1. NI LINI UMEWASILIANA NA HAO MAWAZIRI KILA MMOJA KWA WAKATI WAKE WAKAKUONYESHA VYETI VYAO VYA UBATIZO?
 
Asante kwa uchambuzi mzuri. Jamani tuchapeni kazi tuiletee Nchi yetu maendeleo. Mhe.Lukuvi anataka watanzania wote tupate haki ya kumilki ardhi haijalishi sisi ni dini gani, kadhalika mawaziri na watendaji wote. Kuwepo waziri au kiongozi kutoka kabila, mkoa, dini yangu si hoja ya msingi ila ikitokea unashukuru!
 
Nakubaliana nawe kuwa katiba inakataza aina zozote za ubaguzi; kwenye aina za ubaguzi ongeza Maoni ya kisiasa.
Kwa kuwa msingi wako ni kuwa katiba haijavunjwa, ni kweli ila ni vyema ukakemea vitendo vyote vya kibaguzi siyo kwa kuteua baraza tu.
Kifungu kidogo cha 5 cha ibara ya 13 ukikinukuu chote kinasema:
(5) Kwa madhumuni ya ufafanuzi wa masharti ya ibara hii

neno "kubagua" maana yake ni kutimiza haja, haki au mahitaji

mengineyo kwa watu mbalimbali kwa kuzingatia utaifa wao,

kabila, pahala walipotokea, maoni yao ya kisiasa, rangi, dini,

jinsia au hali yao ya maisha kwa namna ambayo watu wa aina

fulani wanafanywa au kuhesabiwa kuwa dhaifu au duni na

kuwekewa vikwazo au masharti ya vipingamizi ambapo watu wa

aina nyingine wanatendewa tofauti au wanapewa fursa au faida

iliyoko nje ya masharti au sifa za lazima, isipokuwa kwamba neno

"kubagua" halitafafanuliwa kwa namna ambayo itaizuia Serikali

kuchukua hatua za makusudi zenye lengo la kurekebisha

matatizo katika jamii.
Unsemaje kuhusu wale walionyimwa barabara kwa kuwa walichagua chama fulani?
 
Sipendi kuipuuza hoja au akili ya yeyote, isipokuwa kwa vile wewe umechupa mpaka katika kubeza kitu ambacho Waislamu wanakienzi , acha tu niseme wewe ni turd.
Kama Mwenyezi Mungu atanifadhili kwa kuniingiza katika Ufalme wake, ombi langu moja kwake ni kukipasua kichwa chako mbele yangu nione exactly ameweka nini ndani yake!
Kuna makumi ya nchi za Kiislamu zilizoendelea kwa 'light years' kuliko Tanzania ambazo husimamisha kazi 'hasa' kila wakati wa swala. Egypt ambayo inawajengea bwawa la umeme ni moja wapo. Nyingine ni Uturuki inayowajengea treni ya kisasa (Pengine hata hujui, mji ..a wewe) Ni akili fupi sana kufikiria dakika tano off, siyo uchapa kazi. In fact, kama wewe ni Msomi (sidhani hivyo, wewe ni riff raff tu) ungekwishasoma utafiti wa Wataalamu wakubwa (Wazungu, miungu yako) kuwa mfanyakazi anayepumzika muda baada ya muda, ndiye more productive na more creative (katazame kamusi au mwulize mtu maana ya matamko hayo).
 
Ni ajabu wenye sifa za utendaji, nidhamu na maadili kazini ikaonekana wengi wao sana wana sifa moja in common Wengi wao ni Wakiristo, Je hakuna waislamu wa kutosha wenye nidhamu, sifa za utendaji na maadili kazini?. Si bure teuzi hizi zinanuka Udini!, Huhitaji kuambiwa kuhusu udini, bali ukiuona unaujua, na mfano wa udini kwenye mambo ya kiserikali ni kwenye teuzi hizi za juzi za Magufuli
 
Asante sana Mama Amon kwa uchambuzi makini! Pamoja tujenge Nchi yetu!
Katika kujenga hitimisho la hoja yake katika uzi huu, Mama Amon kaandika kuwa haoni shida wateuliwa wote wa rais wakiwa kabila moja, mahali pengine kwenye uzi huuhuu alinijibu kuwa haoni tabu hata wakitoka famiia moja je unamuunga mkono katika hilo?
 

Kuwa na dini sio kuwa mdini. Udini, ukabika, ukanda, etc vinathibitishwa kwa ushahidi. Sio tuhuma za rejareja kama hizi. Jenga hoja inayotusaidia kuona mambo kihivi:

1. Kuna kanuni ya uteuzi x mahali y

2. Uteuzi huu umevunja kanuni x kwa sababu P, Q, R, etc

3. Kwa hiyo kanuni x inevunjwa.

Huonekani kufikiri kiufundi namna hii.

Jiongeze
 
Eti
Kwani marais waliyopita hawajaviona hivyo vifungu vya katiba? Mbona hatujakuwa tukisikia hizi kelele? Lisemwalo lipo na kama halipo laja.

Eti LISEMWALO LIPO KAMA HALIPO LINAKUJA!

Umewahi kutafakari juu ya ujingishaji uliomo ktk methali hii?

Kama halipo linakuja kweli? Linakujaje na kutoka wapi?

Ukweli ni kwamba:

LISEMWALI AMA LIPO AU HALIPO, NA KAMA HALIPO HALIJI.

Acha kukariri mawazo ya wahenga feki.
 
Mimi na wewe tunatofautiana kitu kimoja kidogo sana, wewe umejikita kwenye vigezo vyako vya uteuzi ulivyoviona vinafaa kuwa ndivyo vya kuzingatiwa bila kujali kingine chochote.

Mimi nakwenda mbele zaidi kwa kuvikubali vigezo vyako (i. e eimu, utayari, uzoefu etc) lakini on top of those nimeongeza kingine ambacho wewe hukitaki, mimi nimeongeza na kingine yaani "social inclussiveness" inayreflect demography ya Taifa.

Wewe social incusiveness unaona siyo muhimu sana ndiyo maana unaona kuwa so long as watu wana vigezo ulivyovitaja basi wateule wa rais hata wakiwa wa familia moja na yeye hilo siyo tatizo!

Mimi nasema hilo ni tatizo kubwa, na kwa muktadha huo hata kuteua watu wengi wa mrengo moja iwe wa kiimani, kidini, kijinsia etc wakati Population nzima katika hii nchi kuna watu wenye vigezo ulivyovisema naona siyo jambo sahihi.

Tunaweza kukubali kutokubaliana katika hilo, Mimi napenda serikali yenye watu wenye sifa na vigezo na iliyo inclusive. Watu hao wanapatikana nchini kutoka watu wa dini zote, kanda zote etc
 

Tunatofautiana hapa: Unasema "mimi nimeongeza." Mie nasema hapana, huna power right ya kuongeza vigezo vya uteuzi na kisha kuvitumia kufanya hukumu.

Anzisha mjadala wa kuongezwa kwa vigezo, jenga hoja ieleweke na kukubalika mpaka iwe rasmi ama ktk katiba au sheria. Then tumia msingi huo kukosoa.

Kwa sasa unachanganya sequence. Unahukumu kwankutumia sheria ambayo haijatungwa. Ni uchokozi usiovumilika.
 

Ukiondoa kigezo cha ni lazima awe mbunge ndo awe waziri katiba haikufix vigezo vingine vyovyote vya nani awe waziri, Ni maamuzi ya raisi tu anayewateua ndo anaweka vigezo anavyovitaka na hatutangazii. Huenda vigezo alivyotumia Kikwete kupata mawaziri wake siyo hivyohivyo anavyotumia Magufuli, au vinaweza kuwepo some in common na some vikawa tofauti etc na hawatwambii, lakini ukiwa na akili timamu huwezi acha kuona Patterns fulanifulani

Sasa pattern tunayoiona kwa teuzi za Magufuli licha ya kigezo cha elimu tunaona watu waliolalia dini moja kwa sana (wewe unasema hilo siyo tatizo, lakini wengine tunaona siyo sawa kwa mujibu wa sababu tulizokwisha zieleza)

Nitakupa mfano, mwaka ya 1990's serikali ya Mkapa imewahi kuunda bodi ya Parole iiyojaa Wakiristu watupu, Waislamu walivyoguna akaivunja na kuiunda upya, alipoiunda upya ikawa very inclusive watu wakaridhika. Pale Mkapa alionyesha nini maana ya kuwa mtawala wa kitaifa na siyo kuwa na constricted mind

Kiufupi ni hivi:

Leadership is all about heuristics and the best heuristic is a leadership style that minimizes conflicts, brings a social harmony, enhance fairness and build an inclusive society, Nje ya hapo ni ubaguzi tu na kiburi cha mamlaka ambacho hakijengi mshikamano wa kitaifa kwa namna yoyote!
 

Maadili ya uongozi ukataa ubaguzi wa dini,kabila,jinsia lengo kuu ni kuleta usawa na umoja wa kitaifa, lengo kuu ni tusihalalishe aliyosema botha
 

Attachments

  • Screenshot_20200518_071225.jpg
    78.1 KB · Views: 1
Ukabila ukanda udini uligawa taifa. Pia ni kinyume na maadili ya uongozi
 

Ila We jamaa unapata tabu sana. Lazima uandike kitu. Ninachoshangaa Ni how unapata hata muda. Kadiri ya maandiko yako yote humu , wew sio tu mpingaji bwabwaaaa wa JPM Bali pia Humtambui. Sasa unawezaje kumjudge kiongozi ambaye humtambui. Ila kwa akili yako fupi soma hoja za #2 za Mama Amon. Naona unapita tu kama huzioni Hivi Unapotoa vimajibu vyako vya ajabu.

Naomba tukuchangie tu nauli uende ubelgiji mana akili yako inazidi kuweuka. Nilienda Tz Mara moja. Nimeona changes nyingi njema. Sijui wewe mada zako unaandika Ukiwa chooni ubelgiji au kwenye Slums za Kenya.
 
lete mchango wa mawazo, acha matusi
 
Sasa kuna nani mwingine kwenye maCCM yaliyopo Bungeni anayeweza kuwa na elimu sawa au ya kumkaribia Kitila na Nchemba?
Kuwa Waziri kunahitaji zaidi ya elimu ya stashahada; kunahitaji pia busara na hekima!!! Sidhani kama hawa wanyiramba wote wana attributes hizo!!!! JIWE anataka walio kondooo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…