Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Huo ni ukabila nyie watu wa huko ni wakabila Sana , Ukija uku kwetu Mbeya mwenyekiti anatoka sehemu yoyote Ile ya Tz ili mradi anaishi kijijini kwetu,Unachotaka kusema hapa ni sawa na kusema hii mitaa yetu ya Rombo tuwe na mwenyekiti wa mtaa kutoka Kigoma. Dadaa mbona hujiongezi?
It seems ameteua watakaoitika amina kwa sauti nyingi zaidi pindi akianza vikao kwa sala ya bwanaKwani wameteuliwa kwenda kusoma Quran au biblia au kwenda kufanya kazi? Tufike mahali mtu ateuliwe kwa kufuata uwezo wake wa kutenda kazi na sio dini wala rangi yake wala jinsia yake. Ni wazi mtoa maada ilitakiwa ushitakiwe kwa kuonyesha ubaguzi hadharani kabisa. Unaonyesha ubaguzi wa kidini hadharani hao watu wameteuliwa wakafanye kazi na sio kwenda kuhubiri.
Rais anateua baraza la Mawaziri kwa kushauriana na Makamu wa Rais na Waziri Mkuu. Hao wote ni Waislamu kwani wao hawakuliona hilo?
Ishu ya wanaweke wacha wakae nyumbani watulee.
Wazanzibar na wenyewe wana nchi yao. Anyway Mbarawa ameniumiza moyo kukosekana kwenye baraza la mawaziri.
Anyway today is Sunday take your Bible and go to your nearest church.
kumuuma sana.ukiona hivo.Hebu muacheni Ramadhani Dau apumzike, mmelalamika hadi leo bado mnalalamika, mada inaongelewa kuhusu teuzi za bwana yule Dau kaingiaje?
Hapangiwi lakini tutamueleza ukweli!
Na ukweli ni kwamba ananuka udini
Usinipangie!!
Usinichanganyie Battery Na Gunzi Hiyo Torch Sitaiwasha.
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😁😂😅😄😃😃😀😁😂
Thubutu!Haina shida akiingia Raisi muislamu na yeye baraza lake la mawaziri litakuwa 80% waislam na 20% wakristo
Rais angekuwa ni muislamu na akateua waislamu wakutosha (kama nusu tu ya baraza zima), leo jumapili makanisani zingesomwa nyaraka za maaskofu kuipinga serikali, mahubiri na maombi yangekuwa ni kuipinga serikali, wakristo wangeambiwa wafunge siku kadhaa dhidi ya uislamu kushamiri hapa Tz nk.
Viongozi wa kikristo nawajua vizuri.
Kirinjiko!Wewe seminari uliyosoma ilikua haifundishi somo la Uraia?Tangu lini Naibu Waziri akawa sehemu ya Baraza la Mawaziri wewe?
Kwann akemee uteuzi, kwani kigezo mojawapo ni dini? So far Serikali haina dini. Acheni mawazo potofu.Kwa Islam mtanielewa, siku moja kabla ya uchaguzi Muft alikuwa Chamwino akifungua "msikiti" halafu huyo huyo aje akemee huu utezi kweli? Kwa hili Islam hatuna.mtetezi. kama kuna ambaye hajanielewa asinikurupukie
Lugha inakupa tabu?!?Kasome vizuri katiba
Ikizungumzwa Cabinet, Naibu Waziri si sehemu ya Cabinet
Siwezi kukushangaa, wengi wenu mnadhan Naibu ni sehemu ya Cabinet
🤣🤣🤣Kwani ni lazima kuteua waziri toka huko wapi katiba imesema hivyo mbona wao hawateui toka bara!