Tetesi: Baraza Kuu La CHADEMA linatarajia kukutana kwa dharura Kumjadili Mbunge Machachari (Joshua Nassari)

Pitia list ya watumishi wenye vyeti feki kwenye halmashauri Na utumishi wa umma iliyotolewa na wizara ya utumishi wakiwemo walimu wengi waliofoji wanatoka Kilimanjaro
 
Arumeru ni Ngome ya Nassari wanaolitaka ilo jimbo ndani au nje ya CDM walisahau hizi drama za madiwani ni siasa nyepesi sana. ..

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
HATA.MACHALI WALIFIFIKA bei yuko wapi Zito yuko wapi Wachilia mbali Mrema na Cheyo
 
HATA.MACHALI WALIFIFIKA bei yuko wapi Zito yuko wapi Wachilia mbali Mrema na Cheyo
 
Kama ni kweli! Huyu dogo anapotea, wanaomhusu wamtafute, wampe ushauri.

Wasaliti wa Mapambano ya Haki hawajawahi kubaki salama hata kidogo.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Yaweza kua kweli pia yaweza kua uongo kikubwa hapa in muda tu

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
mlimsema myika leo nasari nyie ma ccm hamridhiki na mambo ya maendeleo bado mnakalia umbea umbea vidole juu?

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Pitia list ya watumishi wenye vyeti feki kwenye halmashauri Na utumishi wa umma iliyotolewa na wizara ya utumishi wakiwemo walimu wengi waliofoji wanatoka Kilimanjaro
Weka hapa hiyo list ! Chuki binafsi zitakuua .
 
Binadamu mwenye ubongo unaofanya kazi kwa 45% tu hawezi kuunga mkono chadema
 
Baraza kuu la CHADEMA linatarajia kufanya kikao kizito cha kumjadili na Kuamua hatima ya Mbunge mwenye akili zaidi ndani ya chama hicho
Nyee ndio wapumbavu mnaojiona kuwa mna akili nyingi zaidi ya wazazi wenu waliowazaa,Nassary anakuwaje na akili nyingi kuzidi waanzilishi wa Chama na wanachama waliomtangulia kwenye Chama?.
 
Taarifa za Kichunguzi zinaniambia Nassari yu mbioni kuhamia chama hicho mwishoni mwa mwaka 2019 kuelekea Uchaguzi Mkuu,
Kwa nini ni mpaka kuelekea uchaguzi mkuu na siyo sasa?kwani Nassary akihama CHADEMA sasa na kuhamia Chama kingine na Chama hicho kikamsimamisha Kama mgombea wao ndio uchaguzi hautafanyika?halafu hamuoni kuwa Nasari ni binadamu Kama binadamu mwingine yeyote mpaka ijeifika muda wote huo siatakuwa ameshabadili nia ya kuhama CHADEMA?.
 
Ramli za kitoto namna hii haziwezi kutusaidia kujenga viwanda wala kukomesha mauaji ya watu wasio na hatia kibiti
Unategemea watu wapigane Kibiti halafu ukomeshe mapigano hayo kupitia jf? Wewe ndo zero kabisa
 
Nyee ndio wapumbavu mnaojiona kuwa mna akili nyingi zaidi ya wazazi wenu waliowazaa,Nassary anakuwaje na akili nyingi kuzidi waanzilishi wa Chama na wanachama waliomtangulia kwenye Chama?.
Waaanzilishi wana akili???? Mmmmm waliimba lowasa fisadi miaka 20 ghafla ndani Ya nusu saa wakamtangaza lowasa sio fisadi na kumpa ugombea uraisi mmmmmmmmm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…