Mkuu naona unaandika utafikiri unaijua Arusha vizuri nikwambie tu kwamba unaowachukia ndio hao hao wamejaa kwenye utumishi huko nchini mkoa unakotoka ndio leo imepata shule ya Advance level wenzako hizo shule zipo kila kata .
Hii dhambi ya kubaguana unayopenda kueneza ni mbaya sana ebu ntajie mkoa ambao utaenda uwakose hao watu unaowachukia leo hii ? Hizo shule zenu za kata wamejaa walimu wa kutoka kwenye huo mkoa unaoichukia nikwambie tu kwamba uchumi wa Arusha unakuzwa kwa asilimia kubwa na hao watu unaowachukia . Nyerere aliona mbali sana. Mungu ibariki Tanzania , Mungu ibariki watu wale wanaochukiwa ata na rais kisa awakumchagua.. Amen