Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah....!
Mbona kama mekurupuliwa katika barza ya Mbege nduu yao....!?
Hebu jongea tartibu na huenda ukafahamu wepi wanzi wako tumeanzia na si pahala pa maropoko hapa.
Ina maana mekoswa adabu kiasi hiko ama ndo yako nawe asli....!?
Haya nipo kipembeni hapa nakusubiri.
Kama watetezi wa Mahakama ya Kadhi ndio nyie,mtasubiri karne nyingi sana kuipata.
Wakristo nao wanazo mahakama zao mfano kanisa Katoliki lina mahakama yake ambayo inaanzia katika parokia, jimbo na mwisho ni Vatican lakini hata siku moja hawajawahi kudai igharimiwe na serikali au lazima serikali iitambue. kwa nini wwaislamu wao wanataka mahakama yao tu itambuliwe? Masuala ya dini yako ni yako binafsi hayawahusu wengine.
Hii nchi haina dini jamani. Kila dini/dhehebu likitaka mahakama yake tutafika wapi jamani? Ndugu Waislamu litafakari zaidi hili. Ndio maana hata kufungisha ndoa ni mamlaka ya dini husika na serikali haigharamii shughuli za ufungishaji ndoa za wakristo wala waislamu
Mbona unaandika kama unaongea? Ingekua mdomo ningesema una ulimi mzito au kithembe. Au ulishalegezwa kitambo
Wewe ni shetani kama dini yenu ilivyo ya mashetani
Mkizi sina michezo ya Kanisa ama ndo uishaparuriwa.....!?
Koma na ustahike ili wazazio pia wapawe ihsaani LA'NA yako siitangaze kwa malimwengu .
Ahsanta na nipo kipembeni hapa nakusubiri.
Ushoga wako na mapepo yako pelekea mabwana zako, huo mchezo mchafu usiniletee tafadhali
Mahakama ya Kadhi ni mahakama inayotoa tafsiri ya sheria za Kiislaam kuhusu mambo ya kijamii kama vile ndoa,talaka na mirathi.samahani nifahamishwe, kwani hii mahakama ya kadhi ndio ile inayoamrisha wakosaji wapigwe mawe hadi kufa? au wakatwe mikono kama wameiba?
Kweli...unaandika kama unaongea!!Nimekufahamu kwa uzuri mno na kwa ufahamu ulonionesha naomba hadi hapo nikome mjadala baina yangu nawe.
Najaalia ati weye ndo maneno/ maandiko yako yapo sahihi.
Ila nakusihi, mara nyangine sitoe hukmu ya majambo na kaendelea kudhani Waislaamu wa sasa ati bado ni wale wa kuambiwa jambo nao wakalikubali bila kufanza upembuzi kwalo, labda Kanisani hali hiyo kama bado yaendelea.
Ahsanta naamini wenye kufahamu watakuwa waishanifahamu nini mekusudia.
Nipo kipembeni hapa.
Kweli...unaandika kama unaongea!!
mapepo yenu pelekeni uarabuni, mnataka kutusambazia majini kwa nguvu?
Ngoja kwanza, subiri, Waislam tushauriane, hawa kama ni BAKWATA kutakuwa kuna walakin unless kama Mufti kaona siku zake zinakaribia na kaamuwa kwa dhati kurudi kwa Waislam wenzake na kuachana na system.
tatizo lenu nyie waislamu inawasumbua njaa ndio hata siku moja msitegemee umoja wenu utafanikiwa. Mliwatuma bungeni akina shehe jongo matokeo yake wakaacha kufanya kazi mliyowatuma wao wakaendekeza njaa zao, wakapewa mlungura wa mamilioni ya shilingi wakasahau matatizo ya waislamu wenzao. Nyie hamuwezi kufanikiwa chochote njaa zinawasumbua, awamu yenu ndiyo hiyo inapita msubiri na nyie usumbufu wa miaka kumi. Raisi wenu kawajaza waislamu wenzao maofisini ndio maana kazi haziendi . TCU mmekaa ili muongoze udahili wa waislamu mavyuoni, bodi ya mikopo mmekaa nyie na tunafahamu karibu 80% watu wote wanao nufaika na mikopo waislamu ndio wengi na karibu wengi wanapata mikopo zaidi ya 80% tunalifahamu hilo. Tume ya ajira mmekaa nyie ili kubebana ktk ajira, yote hayo tunayajua . Muda wenu unakwisha bado miezi tu.