Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

Status
Not open for further replies.
Mi mkristo sioni tatizo kwa uwepo wa hito mahakama ila shida ni nani watahukumiwa na hizo mahakama .Kama ni ya kiislamu na kwa waislamu na kwa maswala maalumu yatakayoainishwa sioni tatizo
 
Daah....!
Mbona kama mekurupuliwa katika barza ya Mbege nduu yao....!?

Hebu jongea tartibu na huenda ukafahamu wepi wanzi wako tumeanzia na si pahala pa maropoko hapa.

Ina maana mekoswa adabu kiasi hiko ama ndo yako nawe asli....!?

Haya nipo kipembeni hapa nakusubiri.

Wewe ni shetani kama dini yenu ilivyo ya mashetani
 
Kwa kuwa baraza limejiingiza katika siasa, kwa nini serikali isiiondolee dini status ya kuwa tax exempt?
 
Duuu hapa walipotolea tamko napo pananipa waswas + maji ya uhai juu
 
Mahakama ya kadhi hapa sio saudi arabia. Kama hamtaki tuwapeleke saudi arabia mkaitafute hyo mahakama ya kuchinjana
 
Kama watetezi wa Mahakama ya Kadhi ndio nyie,mtasubiri karne nyingi sana kuipata.

Mkuu nisaamehe kama mepituka.

Ila kuna lugha nyingi mno za kuongea na mwanziwako.

Mie naliekezwa na Mwalimu wangu mstaabu mno na tokamana naye nalijaalika kujifunda tabia na mienendo yake na si kama ile ya "NDIYO" pasi na kuhoji.

Mfano mmoya katika mambo alonifunda ni "ONGEA NA MTU/WATU KWA KADRI YA AKILI ZAO".

Sasa nakuuliza weye ambaye busara zimekujaa, hivi ulikitaka nitukanwe na mie ninyong'onyee na kulalama kipembeni huoni ntaingia DHAMBINI....!?

Ile kanuni ya kupigwa shavu la kushoto na ati ugeuze na kulia mie kwa haki sina kabisa.

Ahsanta na nipo kipembeni hapa.
 
Wakristo nao wanazo mahakama zao mfano kanisa Katoliki lina mahakama yake ambayo inaanzia katika parokia, jimbo na mwisho ni Vatican lakini hata siku moja hawajawahi kudai igharimiwe na serikali au lazima serikali iitambue. kwa nini wwaislamu wao wanataka mahakama yao tu itambuliwe? Masuala ya dini yako ni yako binafsi hayawahusu wengine.

Mambo mengi tu watu hayawahusu. Mahakama ya ardhi kwa asiye na Ardhi inamuhusu? Hivyo ni busara tu kutumika!
 
Hii nchi haina dini jamani. Kila dini/dhehebu likitaka mahakama yake tutafika wapi jamani? Ndugu Waislamu litafakari zaidi hili. Ndio maana hata kufungisha ndoa ni mamlaka ya dini husika na serikali haigharamii shughuli za ufungishaji ndoa za wakristo wala waislamu

Kwani kuna dini au madhehebu gani ambayo imeomba mahakama ?!....kwa ajili ya kesi gani !?
Hii ni njia moja wapo ya kukimbia ukweli kuhusu kuanzisha Taasisi hii !
 
Mbona unaandika kama unaongea? Ingekua mdomo ningesema una ulimi mzito au kithembe. Au ulishalegezwa kitambo

Mkizi sina michezo ya Kanisa ama ndo uishaparuriwa.....!?

Koma na ustahike ili wazazio pia wapawe ihsaani LA'NA yako siitangaze kwa malimwengu .

Ahsanta na nipo kipembeni hapa nakusubiri.
 
Wewe ni shetani kama dini yenu ilivyo ya mashetani

Weye takuwa mejazwa LAANA ya yule mlo mtungika Msalabani,na dhambi ile kattu haitokuwa ni yenye kukuacheni weye na wenye mfano wako.

Ahsanta kwa kunisikiza na nipo kipembeni hapa.
 
Mkizi sina michezo ya Kanisa ama ndo uishaparuriwa.....!?

Koma na ustahike ili wazazio pia wapawe ihsaani LA'NA yako siitangaze kwa malimwengu .

Ahsanta na nipo kipembeni hapa nakusubiri.

Ushoga wako na mapepo yako pelekea mabwana zako, huo mchezo mchafu usiniletee tafadhali
 
samahani nifahamishwe, kwani hii mahakama ya kadhi ndio ile inayoamrisha wakosaji wapigwe mawe hadi kufa? au wakatwe mikono kama wameiba?
Mahakama ya Kadhi ni mahakama inayotoa tafsiri ya sheria za Kiislaam kuhusu mambo ya kijamii kama vile ndoa,talaka na mirathi.
Kwa mfano Usahihi wa talaka na kutambuliwa kwa talaka. Utaratibu wa mgao wa mirathi, nani anapata nini kwa kiasi gani. Sheria za kimahakama za kiserikali zinaendana na kinyume na imani za Kiislaam. Kwa mfano ukiishi kinyumba na mwanamke kwa miaka 2, anatambuliwa kisheria kuwa ni mke rasmi.Kiislam huwezi kuhalalisha zinaa ya miaka 2 !
n
 
Nimekufahamu kwa uzuri mno na kwa ufahamu ulonionesha naomba hadi hapo nikome mjadala baina yangu nawe.

Najaalia ati weye ndo maneno/ maandiko yako yapo sahihi.

Ila nakusihi, mara nyangine sitoe hukmu ya majambo na kaendelea kudhani Waislaamu wa sasa ati bado ni wale wa kuambiwa jambo nao wakalikubali bila kufanza upembuzi kwalo, labda Kanisani hali hiyo kama bado yaendelea.

Ahsanta naamini wenye kufahamu watakuwa waishanifahamu nini mekusudia.

Nipo kipembeni hapa.
Kweli...unaandika kama unaongea!!
 
tatizo lenu nyie waislamu inawasumbua njaa ndio hata siku moja msitegemee umoja wenu utafanikiwa. Mliwatuma bungeni akina shehe jongo matokeo yake wakaacha kufanya kazi mliyowatuma wao wakaendekeza njaa zao, wakapewa mlungura wa mamilioni ya shilingi wakasahau matatizo ya waislamu wenzao. Nyie hamuwezi kufanikiwa chochote njaa zinawasumbua, awamu yenu ndiyo hiyo inapita msubiri na nyie usumbufu wa miaka kumi. Raisi wenu kawajaza waislamu wenzao maofisini ndio maana kazi haziendi . TCU mmekaa ili muongoze udahili wa waislamu mavyuoni, bodi ya mikopo mmekaa nyie na tunafahamu karibu 80% watu wote wanao nufaika na mikopo waislamu ndio wengi na karibu wengi wanapata mikopo zaidi ya 80% tunalifahamu hilo. Tume ya ajira mmekaa nyie ili kubebana ktk ajira, yote hayo tunayajua . Muda wenu unakwisha bado miezi tu.
 
Ugaidi Mbaya Sana Duniani Tuupge Vita Kwakweli Ama Sivyo Amani Itapotea Dhidi Ya Mahakama Za Kadhi
 
Ngoja kwanza, subiri, Waislam tushauriane, hawa kama ni BAKWATA kutakuwa kuna walakin unless kama Mufti kaona siku zake zinakaribia na kaamuwa kwa dhati kurudi kwa Waislam wenzake na kuachana na system.

hapo kwenye red acha kigugumizi, sema tu CCM.
Cha muhimu hapa ni kuikataa katiba tuliyoandikiwa na kafiri CHENGE. Hayo mengine tutaongea baadaye.
 
tatizo lenu nyie waislamu inawasumbua njaa ndio hata siku moja msitegemee umoja wenu utafanikiwa. Mliwatuma bungeni akina shehe jongo matokeo yake wakaacha kufanya kazi mliyowatuma wao wakaendekeza njaa zao, wakapewa mlungura wa mamilioni ya shilingi wakasahau matatizo ya waislamu wenzao. Nyie hamuwezi kufanikiwa chochote njaa zinawasumbua, awamu yenu ndiyo hiyo inapita msubiri na nyie usumbufu wa miaka kumi. Raisi wenu kawajaza waislamu wenzao maofisini ndio maana kazi haziendi . TCU mmekaa ili muongoze udahili wa waislamu mavyuoni, bodi ya mikopo mmekaa nyie na tunafahamu karibu 80% watu wote wanao nufaika na mikopo waislamu ndio wengi na karibu wengi wanapata mikopo zaidi ya 80% tunalifahamu hilo. Tume ya ajira mmekaa nyie ili kubebana ktk ajira, yote hayo tunayajua . Muda wenu unakwisha bado miezi tu.

Katika wadini na Wabinafsi nadhan wewe ni namba moja. Kwa hiyo unakiri huko nyuma mumehusika kuwahujum Waislam siyo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom