mwakaila
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 1,053
- 157
We ---- Nini, Si Muanzishe Kwa Pesa Zenu Kwani Nani Kawazuia?
Relax mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ---- Nini, Si Muanzishe Kwa Pesa Zenu Kwani Nani Kawazuia?
Waislam wapewe ni haki yao
Na ni wapi katika katiba hiyo pendekezwa imetaja Haki za msingi za WAKRISTO??????! Kwa hiyo Waislam ni bora kuliko Wakristo nchini mwetu??! NDIO maana Tangu mwanzo Serikali ikatenganishwa na DINI... (Haya mwalimu Nyerere aliyajua yangetokea.. DINI Moja kujiona bora ndani ya katiba...Hakuna nchi tena hapo)...Ila Serikali Imara isiyokumbatia DINI na kuziacha DINI zijiendeshe na kujiamlia mambo nje ya mfumo wa serikali ndiyo sahii Kabisa ili kupusha huu Mvurugano).. Watanzania tujitambue..! ili kulinda umoja wetu..!
MAHAKAMA YA KADHI INAFAIDA KWENU WAISLAM SISI WAKRISTO HATUNAFAIDA NAYO NA WALA SI IMANI YETU,HVY ANZISHENI KWA KODI ZENU LAKINI SIYO KWA PESA ZETU.Mahakama Ya Ardhi Inafaida Kwa Wote Bila Kujali Dini Ya Mtu.Lakini Ya Kadhi Ni Kwa Mwislam Peke Yake!! Mbona Mnakuwa Si Waelewa?
MAHAKAMA YA KADHI INAFAIDA KWENU WAISLAM SISI WAKRISTO HATUNAFAIDA NAYO NA WALA SI IMANI YETU,HVY ANZISHENI KWA KODI ZENU LAKINI SIYO KWA PESA ZETU.Mahakama Ya Ardhi Inafaida Kwa Wote Bila Kujali Dini Ya Mtu.Lakini Ya Kadhi Ni Kwa Mwislam Peke Yake!! Mbona Mnakuwa Si Waelewa?
daah upo kidato cha ngap
Kweli mkuu serekali haigharamii gharama za ufungaji ndoa,lkn linapikuja swala la kuachana serekali inangilia.
Hapo hakuna dilemma, hapo tunawaonesha namna ya kudai haki zetu Kiusalama kabisa.
Na Waislam waliwengi tukiamua kura ya hapana basi ujuwe katiba pendekezwa haipiti.
Na sasa hatutaki ahadi, na wakati wa kura za Urais na ubunge, uzi ni hohuo. Mpaka watu watie akili.
Baraza Kuu tuko pamoja, naunga mkono hoja.
Just imagine kila dhehebu likiomba mahakama! au hata wapagani wakiomba mahakana kukidhi kutoamini kwao itakuwaje? Lakini si mnaruhusiwa kwa gharama zenu kwa nini hilo hamlitaki?Kwani kuna dini au madhehebu gani ambayo imeomba mahakama ?!....kwa ajili ya kesi gani !?
Hii ni njia moja wapo ya kukimbia ukweli kuhusu kuanzisha Taasisi hii !
Wanayopinga Wakristo yote ni maamrisho kutoka Kanisani.
Kitu ambacho Wakristo wamekisahau ni kuwa hilo hilo Kanisa ndiyo lilikuwa chanzo cha mauaji ya kimbari hapo jirani.