Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

Status
Not open for further replies.
Haiwezekani mi mkiristo nilipe kodi kuchangia mahakama ya muislam...never...secular state kama yetu isiruhusu ibada hii sisi tuigharamie...la sivyo wapagani na wakiristo wadai mahakama zao....mtoa mada hutambui misingi iliyopo kikatiba na si kuiga tu kutoka mataifa mengine kisa zina aina ya hizo mahakama.....hii kitu ifanyeni wenyewe bila dola na vyombo vyake kuhusika...
 
Na ni wapi katika katiba hiyo pendekezwa imetaja Haki za msingi za WAKRISTO??????! Kwa hiyo Waislam ni bora kuliko Wakristo nchini mwetu??! NDIO maana Tangu mwanzo Serikali ikatenganishwa na DINI... (Haya mwalimu Nyerere aliyajua yangetokea.. DINI Moja kujiona bora ndani ya katiba...Hakuna nchi tena hapo)...Ila Serikali Imara isiyokumbatia DINI na kuziacha DINI zijiendeshe na kujiamlia mambo nje ya mfumo wa serikali ndiyo sahii Kabisa ili kupusha huu Mvurugano).. Watanzania tujitambue..! ili kulinda umoja wetu..!

ni Kweli Kabisa, Nilighadhibika Nikakosea Kuliply Badala Ya Faizafox Nikajikuta Nimekujibu Wewe
 
WANAODAI MAHAKAMA YA KADHI WANATAFUTA AJIRA KWA NGUVU Baada Ya Kukataa Elimu Ya Kawaida Wao Wakakimbilia Elimu Ya Kufuga Majini Sasa Wamemariza Majuzu Na Majuzu Lakini Hawaajiriki!! Wamekosa Sifa Za KuAjiriwa!Wamebakia Kukaa Kwenye Vibanda Vya Kahawa Na Mabaraza Ya Misikiti Kusengenya Basi,sasa Wamechoka Na Maisha Ya Omba Omba Wanataka Ajira Kwenye Mahakama Ya Kadhi.Nasi Tunawaambia Jiajirini Msikitini Kwenu
 
MAHAKAMA YA KADHI INAFAIDA KWENU WAISLAM SISI WAKRISTO HATUNAFAIDA NAYO NA WALA SI IMANI YETU,HVY ANZISHENI KWA KODI ZENU LAKINI SIYO KWA PESA ZETU.Mahakama Ya Ardhi Inafaida Kwa Wote Bila Kujali Dini Ya Mtu.Lakini Ya Kadhi Ni Kwa Mwislam Peke Yake!! Mbona Mnakuwa Si Waelewa?

km ndo hvyo acheni mwizi akatwe mkono mzinifu ale viboko mbona tukieka sheria hzo pia mnaingilia?au mnataka tuwaoe mnk tumeruhusiwa eti
 
MAHAKAMA YA KADHI INAFAIDA KWENU WAISLAM SISI WAKRISTO HATUNAFAIDA NAYO NA WALA SI IMANI YETU,HVY ANZISHENI KWA KODI ZENU LAKINI SIYO KWA PESA ZETU.Mahakama Ya Ardhi Inafaida Kwa Wote Bila Kujali Dini Ya Mtu.Lakini Ya Kadhi Ni Kwa Mwislam Peke Yake!! Mbona Mnakuwa Si Waelewa?

hlf tia akilini kodi asilimia70 inalipwa na waislamu ispokua hatujitangazii cz ni lazima mtu ailipe kodi sio kuwa mshamba ukilipa na bado uhonge uonekane ww ndo mlipaji mzuri wa kodi propaganda tu hzo tushazoea hlf kwann usiende ukadai kodi zako kwa ndugu zenu mafisadiz??
 
Arafu inchini Ujerumani maandamano ya nchi nzima ya kupinga kitu kinachoitwa dini ya kiislamu yameishafanyika na yanapangwa kufanyika tena, na serikali ya nchi hiyo kusaport maandamano hayo bila mtu kubugudhuwa.
 
Wamekosa Ajira Wanalazimisha Waajiriwe Na Serikali Kwa Nguvu, Watakoma Kulinga Nani Aliwatuma Wakasome Elimu Yao Ya Majini Badala Ya Elimu Ya Manufaa Ambayo Ajira Nje Nje.
 
Kweli mkuu serekali haigharamii gharama za ufungaji ndoa,lkn linapikuja swala la kuachana serekali inangilia.

Inaingilia katika kuachana kwa vile couples are contesting for their marriage rights! This is civil litigation as other civil litigations as can put it that way!
 
Sasa mmetuweka wazi kumbe, office ya muft tuje tuifute haina maana ndiyo inayoshinikiza Mahakama ya Kadhi.
Subiri ngoja, niwasiliane na mkulu tuwaoneshe adabu nyie (Oracle ideology).
 
Hapo hakuna dilemma, hapo tunawaonesha namna ya kudai haki zetu Kiusalama kabisa.

Na Waislam waliwengi tukiamua kura ya hapana basi ujuwe katiba pendekezwa haipiti.

Na sasa hatutaki ahadi, na wakati wa kura za Urais na ubunge, uzi ni hohuo. Mpaka watu watie akili.

Baraza Kuu tuko pamoja, naunga mkono hoja.

Sawa kabisa.
 
Kwani kuna dini au madhehebu gani ambayo imeomba mahakama ?!....kwa ajili ya kesi gani !?
Hii ni njia moja wapo ya kukimbia ukweli kuhusu kuanzisha Taasisi hii !
Just imagine kila dhehebu likiomba mahakama! au hata wapagani wakiomba mahakana kukidhi kutoamini kwao itakuwaje? Lakini si mnaruhusiwa kwa gharama zenu kwa nini hilo hamlitaki?
 
Arafu mwanamke yeyote wa kiislamu atakaye kutwa amezini, akamatwe aburuzwe na kamba shingoni, kama muammar Gadaff hadi kwenye soko la Kariakoo katikati apigwe mawe hadi afe hadharani! jamani kwenye nchi zenye vuguvugu la demokrasia kama Tanzania wapi na wapi? hayo ni machache kuna mabaya mengi 70% yamefichwa na 30% mazuri ndo yanawekwa nje na kupigia umma wa watanzania kelele.
 
Wanayopinga Wakristo yote ni maamrisho kutoka Kanisani.

Kitu ambacho Wakristo wamekisahau ni kuwa hilo hilo Kanisa ndiyo lilikuwa chanzo cha mauaji ya kimbari hapo jirani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom