Kweli anapaswa kuwa askofu MkuuKwa Katibu Mkuu wamepatia maana siyo muoga yule
YapKweli anapaswa kuwa askofu Mkuu
Huwa najiuliza sana kwa nini Kitima hapewi uaskofu?Kweli anapaswa kuwa askofu Mkuu
Hhahhahahahahahaahahahahahah nimechekaaaa sanaaaaBora nyie mnapigiana kura mwamposa na gwajima wanawateua wanaowataka wao
MAPADRE NI WENGI MNO TZ, NA MAJIMBO NI MACHACHE MNO "every priest is possible candidate " THOSE WITH MERITSHuwa najiuliza sana kwa nini Kitima hapewi uaskofu?
Hadi mapadri siku hizi wamekuwa"waheshimiwa"! Kazi kwelkwelWanabodi,
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania katika mkutano wake Mkuu wa 77 uliofanyika makao makuu Kurasini kuanzia tarehe 21-25 Juni 2021 walifanya uchaguzi wa Viongozi watakaosimamia wa shughuli za baraza katika miaka mitatu ijayo kuanzia 2021 mpaka 2024
- Baraza limemchagua Mhashamu Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga kuwa Rais wa Baraza kwa awamu ya pili
- Limemchagua Mhashamu Askofu Flavian Kassala kuwa makamu wa Rais kwa awamu ya Pili
- Limemteua Katibu Mkuu, Padre Charles Kitima kwa awamu ya pili
- Limemteua Mheshimiwa Padre Chesco Msaga kuwa naibu mkuu wa Baraza kwa kipindi cha miaka mitatu
MBONA UNA GUBU wewe DADA?Hadi mapadri siku hizi wamekuwa"waheshimiwa"! Kazi kwelkwel