Tetesi: Baraza la Mawaziri kufanyiwa mabadiliko karibuni

Status
Not open for further replies.
Binafsi natamani watu kama kina Bashiru (Team JPM) aendelea kuwaacha nje ya mfumo, aendelee tu na akina Makamba et al, kuna kitu nataka kujifunza.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli yanayoendelea bungeni yanasikitisha sana.

Natamani Watanzania waamke kutoka usingizi wa pono tuwavue UWAZIRI mawaziri wote kudadeki.

Yaani jinsi Ndalichako alivyotetea KIKOKOTOO na Jenista Mhagama alivyotetea ajira ambayo ilikuwa hoja ya Esther Matiko INAUMIZA SANA.
 

Mkuu britanicca heshima kwako.
Kwanini umetumika kumzuia au kumchelewesha Mh. Raisi kufanya mabadiliko ya Baraza Mawaziri kwa wakati ili kuleta tija kwenye taifa letu? Mkuu britanicca kwa ninavyokufahamu kupitia mabandiko yako ni dhahiri wahusika uliowataja wamekutumia uvujishe siri za kilichopo "pipeline" ILI wabadiliko yasifanyike?

Pole kwa usaliti wako kwa Taifa la Tanzania
 
2025 maandalizi mapema
 
Mawaziri aliwateua mwenyewe, anayo kila haki kuwabadilisha aonavyo na wakati umfaao.
 

Kufanyiwa mabadiliko hivi karibuni, hivi karibuni ndio lini? Maana siku hizi umekuwa na uzushi wa kitoto sana.
 
Tatizo sio kubadilisha watu tatizo ni kudeal na mfumo

Hizi nguvu angezitumia kuboresha Sheria na kuleta katiba mpya

Watanzania ni wale wale tu wote weziwezi na wajanja wajanja!!

Nchi ya watu wa hovyo!!!.
Watu wale wale, Chama kile like na wezi ni wale wale!
 
Haya mkuu wangu hayakwepeki Sikukuu hizi zikiisha zinaweza acha mtu analia,

Japo kuna wanaomwambia Mama asubiri bajeti ipite ndo afanye Mabadiliko.

Britanicca
 
Hiv zile za "niko kwenye kamati ya uteuzi,Jina lako linasemwa semwa.unaweza kujiongeza ili lithibitishwe"
 
Afanye asifanye ndo itabadilisha nini
 
Kama Samia hatakuwa amejifunza,itakuwa bad luck for her.Ushauri wangu kwake wa bure ni huu:anybody affiliated to Kikwete in any way or form ni fisadi in some way,aachane naye,watu wazuri wapo.Kwa bahati mbaya sana,nadiriki kusema amezunguukwa na wahuni na mafisadi,watu ambao nia yao ni kumharibia na kuiibia nchi.

Inasikitisha kwamba watu wazuri Samia amewasukumia mbali kwa sababu ya ushauri mbovu.Watu kama Bashiru na Karamagi ni assets kwa Taifa letu, they should come back,chuki binafsi na majungu hayatatusaidia sana Kama nchi.Ujinga kama Sukuma gang etc.should not be tolerated,there is nothing like Sukuma gang.Hao wenye notions hizo ndio wezi nchini mwetu na wanaoleta uhasama miongoni mwa Watanzania,wasivumiliwe.
 
Kubadilisha waziri 1 inagharimu kiasi gani cha pesa za walipa kodi? kumtoa maana yake ulikosea kumuweka. sasa gharama alipe nani?
Tuleteeni katiba mpya turekebishe uzembe huu wa kuteua kimakosa kwa kuangalia juu juu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…